Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

Tatizo Samia asilimia kubwa hawampendi. Sidhani kama atakumbukwa kwa mema
 
Unaongelea maendeleo halafu unatoa hoja 4 tu zisizo hata specific? Partly ikiwa kukamilisha miradi ya mtu mwingine!
 
Tatizo Samia asilimia kubwa hawampendi. Sidhani kama atakumbukwa kwa mema
Atapendwaje wakati hana uwezo wa kuongoza ? badala ya kutafuta ushawishi kwa wananchi yeye anaeneza mabango yenye picha zake nchi nzima kumpromoti huku akisambaza machawa nchi nzima kumuimba sifa hewa !ajiulize Magu yupo kaburini lakini video clip zake zina trend mitaani na mitandaoni ?
 
Magufuli alikuwa genius na mzalendo, licha ya mapungufu yake lakini aliipenda nchi yake. Yule atakumbukwa daima
 
Tatizo Samia asilimia kubwa hawampendi. Sidhani kama atakumbukwa kwa mema
Basi hilo la kujilazimisha kutompenda Sasa ndilo litakalomfanya akumbukwe zaidi....... haters karibu wote nafasi zitawasuta. Halafu usisahau mdau, prof Jay aliwahi kusema kuwa Ili ufanikiwe basi unahitaji maadui zaidi. Mama Samia kwa Sasa anahitaji haters zaidi wa kumtukana Ili afanye kazi yake vizuri zaidi. Narudia, hakuna rais atafanya maendeleo kumzidi huyu mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…