Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

Unaongelea maendeleo halafu unatoa hoja 4 tu zisizo hata specific? Partly ikiwa kukamilisha miradi ya mtu mwingine!
Utaelewa ukiweka chuki pembeni angalau wakati wa mjadala tu huu, ukiisha chukua chuki zako endelea kumtukana.
 
Yote hayo wanajifanya hawajui
 
Ngoja baadhi ya wale masheikh wapikiwe ubwabwa aka cha mtume uone watakavyokuja kutoa tamko rasmi kwamba LEGACY ZIMEKAA KIDINI.
 
Hata kero ya maji Dar ataimaliza Samia.

Jakaya ameondoka ameacha kila kitu set kwenye ujenzi wa bwawa la kurekebu kiwango cha maji ya mto Ruvu. Jiwe kaupotezea huo mradi kwasababu sifa asingepata yeye, na ubinafsi wa ukanda. Badala yake akaona chato Airport ndio kipaumbele. Leo mama analijenga halafu mjinga mmoja baada ya kupiga nyeto na kula kitimoto anakuja kuropoka hapa JF. Hizi Div. 1:7 zao hazina faida yoyote kwa taifa.
 
😹😹😹 Huoni aibu kujidhalilisha?
 
1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan

Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Huyo namba 3 tayari amejipatia sifa ya kuwa Muuaji wa kutisha mno, siyo kwa historia ya Tanzania pekee, bali kwa Afrika nzima
 
Raisi alikua Magufuli tu hapo..halafu hii michezo ya udini sijui inawanufaisha nini,mwisho wa siku hakuna ataeshinda mnawanufaisha watawala tu sera yao ya gawanya upate kundi kubwa la kukutetea hata kama uongozi wako ni mbovu, sababu mtu mweusi akitajiwa dini tu ni kama akili zinamruka.
 
Hapo kwa bi chura toa
huyo sio rais ni raia aliye force kuwa madarakani!
 
1. GPA ya 2.5
2. GPA ya 2.0
3. 6Fs+D
Huyu mhuni namba tatu aliishia tu kidato cha nne basi ikawa tamati ya ilimu yake.Wazanzibar sitaki niwaseme kwa ubaya sema kuhusu ilimu wako nyuma sana hasa hiki kizazi cha 2000 kushuka chini yani namba kubwa ni viazi wa kupindukia

Mtanisamehe sio udini wala ukanda(speaking from experience)
 
HAPANA SAMIA NA MAGUFULI HAWA NDIO MARAIS MAKATILI KULIKO WOTE
 
Mimi ni mkatoliki ila nawatetea Mwinyi na Jakaya.
1. Mwinyi alifungua biashara.
2. Jakaya alikuza demokrasia.
Mkuu unakuza Democrasia wakati nchi haipati Maendeleo Mali za nchi zinaibiwa, Wanyama wanaibiwa Raia wanaporwa fedha zao na Mafisadi, Wafabiashara wanauwawa na Majambazi na polisi wanaua wafanyabiashara na kupora pesa,Wananchi kuddhurumiwa ardhi na Nyumba, Raia kuombwa Rushwa Vituo vya Polisi na Mahakamani. HII Ndiyo Democrasia aliyoileta Kikwete, Watoto wetu Kukaa chini Mashuleni na kusoma kwenye Mjengo mabovu na Wengine Chini ya miti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…