Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

WaS
Wastaafu wa Malawi msubiri zawadi ya Kikokotoo Kipya mtuletee vijisenti hivyo tuwapangishe.
 
Hakika ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu, watu ufikiri madini tu ndio rasilimali, hata fedha iliyokusanywa ni rasilimali na unapaswa kutumika vizuri,
Mstaafu gani ambae ni rais anashida ya makazi? Walishajiandalia wakiwa madarakani, tena unawajengea!
 
sheria ndio inavyosema.Wale ni viongozi wachen wamefanya kazi kubwa wanastahili kupumzika.Wajengewe Nyumba nzuri na ulinzi juu maaana pia ni ma chief in comand wastaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Utawala wa sheria.
Kama unataka kulaumu laumu Bunge la Tanzania, sheria ni msumeno.
 

Watanzania tuache wivu.
Nchi tajiri haiwezi kushindwa kujenga vibanda vya viongozi wastaafu.
 
Naomba pia mwanasheria utuwekee hapa kuhusiana na pension na michango ya watumishi wa kawaida mara wanapomaliza utumishi wao,yaani wanapokuwa mwamestaafu.

Ni muda gani baada ya kustaafu stahiki kama hizi wanatakiwa wawe wameanza kupewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…