n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Chadema kajengeni ofisi kwanza. Ni aibu kubwa kwa chama kikuu cha upinzani, kinacho tafuta dola kukosa ofisi ili hali mnapata ruzuku zaidi ya 300mil kila mwezi.Lissu atakuwa rais October hiihii hivyo atazuia ujenzi wa Hilo hekalu usiwe na wasiwasi.
Umewaz vyema na si hilo tu anajisafisha kwa wastaafu baada ya kuvurunda.Mtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.
Ambacho huyu mtawala wa sasa hajafanya kwa miaka 5. Halafu kuna watu wanampigia makofi kwa hii double standard anayoionyesha.Mtumishi anatakiwa
1. Kupata annual increment kila mwaka
2. Kupanda daraja kila baada ya miaka 3
3. Kulipwa nauli ya likizo kila baada ya miaka 2
Ni haki yao kwa mujibu wa sheria ila kuwakabidhi hadharani inajenga chuki kati wa maskini wa nchi hii na watawala.View attachment 1603958
Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam
View attachment 1603960
Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
Lissu atakuwa rais October hiihii hivyo atazuia ujenzi wa Hilo hekalu usiwe na wasiwasi.
[/QUOT
🤣🤣🤣🤣 Akili hizi.
Ni sheria. Hata akijenga hekalu Hakuna namna ya kufanya.Mtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.
🤣🤣🤣🤣 kama huna nyumba,Acha kushinda Jf ukipiga soga, tafuta hela ujenge nyumba. Au kama vipi pambana na wewe uwe Rais basi, ingawa najua huwezi.Hii sheria ingekuwa kwa watumishi wote wa umma.
Usiwe na shaka kabisa. Nina uhakika mkubwa kabisa uchaguzi wananchi wengi hawatampigia Magufuli kura. Atapata kura chache sana kupita marais wote. Ila sasa yeye mikakti yote ameishaitekeleza: atafanya hujuma. Ameshaandaa namna atakavyochakuchua na muda tu unasubiriwa. Labda itokee jambo moja: Wananchi wakinukishe. Najua watazima njia nyingi za mawasiliano hasa social media lakini bado tusiondoe uwezekano wa wananchi ku-react safari hii.Ambacho huyu mtawala wa sasa hajafanya kwa miaka 5. Halafu kuna watu wanampigia makofi kwa hii double standard anayoionyesha.
Uchaguzi huu pia utapima uwezo wetu sisi wananchi wa kuchambua pumba na mchele.
Hata Mimi sielewi! Yaani utumishi wa miaka kumi unajengewa nyumba, unapewa ulinzi, magari, pensheni na matibabu na kujengewa kasri la kifalme! Mbona Hawa wazee wengine waliolitumikia taifa kwa miaka 40+ wakistaafu hawajengewi na badala Yake wanazinguliwa kwa kutokulipwaMaana yake nini
Ama wewe ni tunda la ufisadi au mnufaika wa ufisadi ndio maana unaandika hivi ukidhani unamtetea huyo anayejikomba kwa wastaafu kumbe unawazidishia wapigakura hasira ili wakapige kura za hasira za kuukataa ccm!🤣🤣🤣🤣 kama huna nyumba,Acha kushinda Jf ukipiga soga, tafuta hela ujenge nyumba. Au kama vipi pambana na wewe uwe Rais basi, ingawa najua huwezi.
ukitafakari ni kwa nini Nyerere aligoma kujengewa Nyumba na jeshi utajua kiundani alikuwa ni mtu wa aina gani !!..
Mtu ana miaka 95, na ana nyumba 5 za kuishi, nyumba ya ziada ya nini?