Marangu Coach imefikia hatua hii

Kwani kuna gari isiyoharibika mkuu?

Sema kosa kubwa, spea itoke Moshi badala ya Dar.
Pili inafaa gari ikiharibika wafanye mbadala kufaulisha watu.

Hata ndege zinafaulishaga mkuu
Wapi nimesema mbovu! Ulichoshangaa ndicho nilichoshangaa namimi, kutokuwepo gari ya akiba na kutojali muda wa abiria.
Tusilaumiane kwa kutokuwa makini kwenye kuisoma na kuielewa mada.
 
Kwanini msisafiri na Tilisho
Kama ni mmarangu hawaipendi. Wanaipenda esther. Hahaha kuna mgawanuiko fulani hivi. Tilisho na esther wote warombo. Lkn kwasababu ya huduma zao Esther huwa wana dharau sana na nyodo warombo wenzao hawaipendi. Ila tilisho hawnaa nyodo wala dharau, wanapendwa na warombo. Kwahiyo kuna kamgawanyiko.
 
Kampuni inasimamiwa na mjomba wao,watoto bdo wanasoma...shida ni mwanasheria kusimamia mabasi
 
Wachaga mna mambo sana
 
Yule kijana mpenda chini kampuni kusonga ni ngumu, anafanya mambo ya hovyo sana
 
Hawaziamini spea za Dar
Siyo hawaziamini Dar spare bei kubwa Moshi rahisi.

Mfano gear box ya Fuso Dar inafika 5.5mil wakati Moshi hiyo hiyo used kutoka Dubai/Japan inakuwa 3.5 to 4mill so unaweza ukaona namna huo utofauti unavyokuwa mkubwa,japo kulinda brand ilibidi kwa gharama yoyote spea ipatikane abiria waondoke
 
Na Kilimanjaro huwezi kukosa spea yoyote, siri ni nini wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…