Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 528
- 1,241
Kilimanjaro imebaki jina tu.Naona jamaa yupo na Promotion ya KLM wakati watu washaacha kusafiri na hayo madudu kwa sababu hizo hizo anakuja na story ya KLM 2023...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimanjaro imebaki jina tu.Naona jamaa yupo na Promotion ya KLM wakati watu washaacha kusafiri na hayo madudu kwa sababu hizo hizo anakuja na story ya KLM 2023...
Yes. Mke na mume woteHivi mmiliki alishatangulia mbele za haki?
Yule wa kiume mpenda bata sana. Aligonga range la baba yake. Alitaka kurithi vingi zaidi kwakua ni wa kiume. Ni kama ana ule mfumo dume wa kikoloni wa enzi hizo uchagganiWatoto waipambanie kampuni mwenendo wake sio mzuri
Wapi nimesema mbovu! Ulichoshangaa ndicho nilichoshangaa namimi, kutokuwepo gari ya akiba na kutojali muda wa abiria.Kwani kuna gari isiyoharibika mkuu?
Sema kosa kubwa, spea itoke Moshi badala ya Dar.
Pili inafaa gari ikiharibika wafanye mbadala kufaulisha watu.
Hata ndege zinafaulishaga mkuu
Kama ni mmarangu hawaipendi. Wanaipenda esther. Hahaha kuna mgawanuiko fulani hivi. Tilisho na esther wote warombo. Lkn kwasababu ya huduma zao Esther huwa wana dharau sana na nyodo warombo wenzao hawaipendi. Ila tilisho hawnaa nyodo wala dharau, wanapendwa na warombo. Kwahiyo kuna kamgawanyiko.Kwanini msisafiri na Tilisho
Kampuni inasimamiwa na mjomba wao,watoto bdo wanasoma...shida ni mwanasheria kusimamia mabasiNamba A ya scania inafanya poa kuliko mchina wa namba E. Kama nasema uongo nionyeshe mchina wa namba A.
Wanaoendesha ni watoto. Ni yule wa kiume. F*uck covid. Imewakatili sana hii familia aisee. Nilipita kijijini kwao Lekura Mamba last week kumepoa kweli jamani. Mwenye mali ni mwenye mali tu.
Unanikumbusha yule wa Kilimanjaro aliyetuhumiwa wizi wa matairi godauni la Temeke, akakaa ndani sana.Dar kila mtu mwizi au anajiandaa kuwa mwizi
Wachaga mna mambo sanaKama ni mmarangu hawaipendi. Wanaipenda esther. Hahaha kuna mgawanuiko fulani hivi. Tilisho na esther wote warombo. Lkn kwasababu ya huduma zao Esther huwa wana dharau sana na nyodo warombo wenzao hawaipendi. Ila tilisho hawnaa nyodo wala dharau, wanapendwa na warombo. Kwahiyo kuna kamgawanyiko.
Watoto bdo wanasoma mkubwa sidhani kma kafika miaka 21...Watoto waipambanie kampuni mwenendo wake sio mzuri
ni changamoto kweli kweliWatoto bdo wanasoma mkubwa sidhani kma kafika miaka 21...
Yule kijana mpenda chini kampuni kusonga ni ngumu, anafanya mambo ya hovyo sanaNamba A ya scania inafanya poa kuliko mchina wa namba E. Kama nasema uongo nionyeshe mchina wa namba A.
Wanaoendesha ni watoto. Ni yule wa kiume. F*uck covid. Imewakatili sana hii familia aisee. Nilipita kijijini kwao Lekura Mamba last week kumepoa kweli jamani. Mwenye mali ni mwenye mali tu.
Wafanyabiashara wote ni wezi tu.Unanikumbusha yule wa Kilimanjaro aliyetuhumiwa wizi wa matairi godauni la Temeke, akakaa ndani sana.
Siyo hawaziamini Dar spare bei kubwa Moshi rahisi.Hawaziamini spea za Dar
Aise,una muachia mzee wa vipengeleKampuni inasimamiwa na mjomba wao,watoto bdo wanasoma...shida ni mwanasheria kusimamia mabasi
Mbona wa kiume mkubwa au ni ndg tu?Watoto bdo wanasoma mkubwa sidhani kma kafika miaka 21...
Yule swy aise mzushi sanaUnanikumbusha yule wa Kilimanjaro aliyetuhumiwa wizi wa matairi godauni la Temeke, akakaa ndani sana.
Na Kilimanjaro huwezi kukosa spea yoyote, siri ni nini wakuu?Siyo hawaziamini Dar spare bei kubwa Moshi rahisi.
Mfano gear box ya Fuso Dar inafika 5.5mil wakati Moshi hiyo hiyo used kutoka Dubai/Japan inakuwa 3.5 to 4mill so unaweza ukaona namna huo utofauti unavyokuwa mkubwa,japo kulinda brand ilibidi kwa gharama yoyote spea ipatikane abiria waondoke