Marangu Coach imefikia hatua hii

OK sawa BM safari za Arusha/Dar inafanya vizuri sana office zao wote hao wapo karibu na office za Kilimanjaro ina miaka karibu mitatu naona wapo vizuri tuu sio kuwa wanavuma ila wahudumu wao pale office wale wadada Customer care ni zero...
Huo ndio mwanzo wa kukata pumzi kutokana ns kuajiri mamluki kwa kupitia mapenzi.
 
Hahahahah basi linaharibika bagamoyo spea inatoka Moshi[emoji1787][emoji1787]
 
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Umenikumbusha Kiswele
 
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Mtu hufanyi ukaguzi wala service kama inavyotakiwa then gari ikizingua unaanza kusema magari ya kichina mabovu acheni hizo mambo aisee
 
Pandeni ndege
 
Safari hatua, hujuo lililo mbele yako shukuru imefika salama

Kama gari mpya inatoka ulaya na tool box. Unashindwa kujiuliza tool box ya kazi gani!?
Ina maana hata aliyetengeneza gari anajua kuwa anytime gari inaweza haribika

Stay tune
 
Unajua hata wewe hapo ulipo unatakiwa utembee na toolbox spea muhimu kondom na viagra, huwezujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…