mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Bai huenda aliowaachia ndo tatizo. Wazungu wanasema hivi “Once you carry your own water, you will learn the value of every drop.Yes. Mke na mume wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bai huenda aliowaachia ndo tatizo. Wazungu wanasema hivi “Once you carry your own water, you will learn the value of every drop.Yes. Mke na mume wote
Marangu Coach Tajiri wake na mke wake COVID-19 ilifanya mambo yake.Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.
Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Acha uongo wewe.una chuki zako binafsi.Mbona hizo scania leo sio nyingi barabarani kama haziharibiki.Hakuna gari ambalo halipati itilafu.Tuache kuongea kauli kwasababu ya mawazo yetu binafsi yasiyo sawa.Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Uhalisia ni upiTuache kuongea kauli kwasababu ya mawazo yetu binafsi yasiyo sawa.
Kilimanjaro ni konokono aliyevishwa jumba la Marcopolo🤣🤣🤣Naona jamaa yupo na Promotion ya KLM wakati watu washaacha kusafiri na hayo madudu kwa sababu hizo hizo anakuja na story ya KLM 2023...
Naona jamaa yupo na Promotion ya KLM wakati watu washaacha kusafiri na hayo madudu kwa sababu hizo hizo anakuja na story ya KLM 2023
Labda walikosa bus la akibaTuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Kwahiyo watu waache kupanda gari zuri lenye kiyoyozi wakaangaike na ngarangara la scania namba A kisa linatembea vizuri.hii sio dunia yakuangaika na matumizi ya nguvu bila akili.Hizo tetenus panda mwenyewe.Mchina kaleta mapinduzi makubwa kwenye usafiri nyie bakini uko uko kwenye maugumu yenu.Namba A ya scania inafanya poa kuliko mchina wa namba E. Kama nasema uongo nionyeshe mchina wa namba A.
Wanaoendesha ni watoto. Ni yule wa kiume. F*uck covid. Imewakatili sana hii familia aisee. Nilipita kijijini kwao Lekura Mamba last week kumepoa kweli jamani. Mwenye mali ni mwenye mali tu.
Naam hii ni factLabda walikosa bus la akiba
Mbona sauli kakimbia game na scania zake.Scania reliability yake ni 99% hayo mengine ni <80% unasafiri na hofu
Labda stoo Yao ipo Moshi ilifaa iwe na DarNajiuliza kwa nini spea haikuagizwa Dar ambapo ni karibu zaidi na Bagamoyo!
Wangekuwa wananua jirani kisha wanareplaceKuna siku nlikua natoka arusha to dom na shabiby, basi likapata tatzo kabla hata ya kufika makuyuni, spea ilitoka dodoma tulingoja zaidi ya 5 hrs. Nadhan wanakuwa na spea zao pia ndio maana ya kusubiria badala ya kununua karibu na eneo ilipotokea changamoto.
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Ndicho wanachokoseaWangekuwa wananua jirani kisha wanareplace
Ninalijua hilo ila bahati mbaya kama ilivyo desturi yetu huwa hatuwahusishi wake na watoto wetu kwenye biashara zetu tangu wakiwa wadogo ili wakue nazo kama wafanyavyo wahindi na waarabu, hata angebaki mama na watoto bado ni shida tu.Marangu Coach Tajiri wake na mke wake COVID-19 ilifanya mambo yake.
Unajua kuwa enzi za BM Dodoma / Dar tuu ilivuma lakini nayo ikakata pumzi, hii ya sasa imefufuka, hebu tuone kadri siku zinavyokwenda.Arusha Dar pana Abood, Bm, Ester, Extra na Bus zingine nyingi tu zipo sawa na wanajali mno abiria..
OK sawa BM safari za Arusha/Dar inafanya vizuri sana office zao wote hao wapo karibu na office za Kilimanjaro ina miaka karibu mitatu naona wapo vizuri tuu sio kuwa wanavuma ila wahudumu wao pale office wale wadada Customer care ni zero...Unajua kuwa enzi za BM Dodoma / Dar tuu ilivuma lakini nayo ikakata pumzi, hii ya sasa imefufuka, hebu tuone kadri siku zinavyokwenda.