Marangu Coach imefikia hatua hii

Marangu Coach imefikia hatua hii

Kheee.. muone huyu nae. Nani anamuonea wivu sasa? Acha umama. Hapa tunajadili uzembe wake. Unategemea aiendeshe kampuni kwa usahihi? Kidogo no ngumu kwake japo anajitahidi. Halafu koma, sina njaa hizo. Na huo ndo ufala wako mmarangu..
Mali za watu zinakuhusu nini? Huna chochote just a piece of sh*t ongelea maisha yako sio ya waliomzidi hata babako fucken
 
Aliingia kichwa kichwa kwa kukurupuka ili kutaka sifa
Siwezi sema alitaka sifa mkuu. Kumbuka hiyo ni pesa ameweka hapo. Ila usimamizi ndo shida na service. Yaani ni kama dar ex press. Madereva ni very reckless. Ni kama pia aliisusa sasa alaamua kujikita kivingine. Mbali na yote boashara ya mabasi siyo kazi aisee
 
Hapa ni Mombo sio?
Ndo rock hill yenyewe mkuu.
Mali ya Urio. Na huyu Urio ndo ndugu wa yule David Urio mwenye La Chaz. Alikua anafanya kazi na dar ex press pale highway. Sijui walipishana kitu gani aisee. Ndo kama hivyo akaja kujenga hapo. Ndo aliyemmaliza kbs mzee mremi. Na ndo hoteli pendwa ya wamarangu na kaskazini kwa asilimia kubwa. Mimi pia naipenda. Lakini toka janga la covid haikeshi tena. Kuna muda na muda. Kama mumebeba vikapu mnafakiwa kutoa order tu. Sasa hv highway nayo imeamka kwa kweli
 
Ha hahahahahaha msikie huyu nae na makasiriko yake... hahahahahaha looh. Lengo lako watu wajiexpose ama? Pole kwa jazba... pumua kidogo...
 
Ndo rock hill yenyewe mkuu.
Mali ya Urio. Alikua anafanya kazi na dar ex press pale highway. Sijui walipishana kitu gani aisee. Ndo kama hivyo akaja kujenga hapo. Ndo aliyemmaliza kbs mzee mremi. Na ndo hoteli pendwa ya wamarangu na kaskazini kwa asilimia kubwa. Mimi pia naipenda. Lakini toka janga la covid haikeshi tena. Kuna muda na muda. Kama mumebeba vikapu mnafakiwa kutoa order tu. Sasa hv highway nayo imeamka kwa kweli
Highway ile ya Korogwe enzi za 2000?
 
Siwezi sema alitaka sifa mkuu. Kumbuka hiyo ni pesa ameweka hapo. Ila usimamizi ndo shida na service. Yaani ni kama dar ex press. Madereva ni very reckless. Ni kama pia aliisusa sasa alaamua kujikita kivingine. Mbali na yote boashara ya mabasi siyo kazi aisee
Biashara za mabasi enzi hizi ni ngumu sana
 
Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.

Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Sasa ww gari imeharibika Bagamoyo wanasubiri spea kutoka Moshi bado umegandiana tu na hilo basi!!???
Bagamoyo kuna gari nyingi sana.
 
Biashara za mabasi enzi hizi ni ngumu sana
Sana mkuu. Ndo mwanzo wa kupata sukari na presha. Kukimbiza upepo. Halaf mabasi yamekua mengi kuzidi abiria aises. Yaan mtu anaamka tu ananunua basi. Nadhan wanafikiri ni biashara rahisi kumbe sivyo.
 
Yes dear. Km 26 nadhani kutokea segera. Kulia kwako.
Aah kumbe ile ya Dar express?

Mimi naongelea ile Highway ya Korogwe mjini enzi za skina Msae na Ngorika, labda ulikuwa bado hujasnza kusafiri😂😂😂

Mara yangu ya kwanza kwenda kanda ya kaskazini ilikuwa mwaka 2000, magari karibu yote ya waswahili yslikuwa yanapumzika hapo highway kwa chakula, isipokuwa ya Waarabu walikuwa wanaenda Mombo kwa hotel yao yenye msikiti pale ukivuka reli
 
Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.

Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Zinaharibika ndege iwe marangu coach, pia elewa spare kutoka Moshi siamini ila Naona kama umeweka ushabiki
 
Aah kumbe ile ya Dar express?

Mimi naongelea ile Highway ya Korogwe mjini enzi za skina Msae na Ngorika, labda ulikuwa bado hujasnza kusafiri[emoji23][emoji23][emoji23]

Mara yangu ya kwanza kwenda kanda ya kaskazini ilikuwa mwaka 2000, magari karibu yote ya waswahili yslikuwa yanapumzika hapo highway kwa chakula, isipokuwa ya Waarabu walikuwa wanaenda Mombo kwa hotel yao yenye msikiti pale ukivuka reli
Woii, unaisemea TRANSIT ya Mzee Mboya? Hahaha mjukuu wake alikua babe wangu. Nimeijua. Ila hotel zote hizo ziko korogwe mbona. Hata Mombo yenyewe iko Korogwe. Zote hizo. Ile Transit Hotel eneo ni dogo sana aisee. Ni ngumu kwa leo hii pawe marketable. Kwa miaka ile alikula hela. Tulikuaga tukisafiri na Dar ex press kama school bus. Tulikua twapenda kula kababu, sambusa, sausages na chips kuku. Sista alikua anatubebea maandazi na chapati lkn tuliokua twaficha pocket money zetu waalaaa. Hahaha. Mwisho tutaiba chupa za tomato. Si wajua utoto? Lkn siku hizi sigusi kbs tomato. Ilikua ya moto sana miaka hiyo. Na madereva walikua wanakimbia wakawahi kuingia maana parking tatizo. Siku hizi ndo sisafiri kivile ninkama nimekua na uoga fulani hv.
 
Zinaharibika ndege iwe marangu coach, pia elewa spare kutoka Moshi siamini ila Naona kama umeweka ushabiki
Inawezekana kbs mkuu. Inategemea na office kuu ziko wapi. Pia gharama
Na wako wafanya biaahara wengi hapo mjini wametoboa kwa kununua spare kenya. Na mpk leo wanafanya. Kama alivypsema mwingine hapo juu kwamba gharama ni ndogo. Pia wenye magari mengi wana tabia ya kununua spare za jumla nanhata tairi halafu wanachhkua store wakiwa na uhitaji. So sishangai. Naweza enda china nikafunga mzigp wa kutosha kupunguza gharama
 
Woii, unaisemea TRANSIT ya Mzee Mboya? Hahaha mjukuu wake alikua babe wangu. Nimeijua. Ila hotel zote hizo ziko korogwe mbona. Hata Mombo yenyewe iko Korogwe. Zote hizo. Ile Transit Hotel eneo ni dogo sana aisee. Ni ngumu kwa leo hii pawe marketable. Kwa miaka ile alikula hela. Tulikuaga tukisafiri na Dar ex press kama school bus. Tulikua twapenda kula kababu, sambusa, sausages na chips kuku. Sista alikua anatubebea maandazi na chapati lkn tuliokua twaficha pocket money zetu waalaaa. Hahaha. Mwisho tutaiba chupa za tomato. Si wajua utoto? Lkn siku hizi sigusi kbs tomato. Ilikua ya moto sana miaka hiyo. Na madereva walikua wanakimbia wakawahi kuingia maana parking tatizo. Siku hizi ndo sisafiri kivile ninkama nimekua na uoga fulani hv.
Kumbe bado mbichi wewe haha, yes ni transit, highway hotel, kitu kama hicho
 
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.

Hujui wala huna uhakika na unalolisema. Wao nao ni shida tu na zile marcopolo zao. Kuna uzi humu wa changamoto.

Hao marangu mara nyingi huwa na gari standby kwa dharura kama hizo. Nashangaa wameshindwa kuwaletea gari ingine.
 
Back
Top Bottom