Maranja Masese atembelea kaburi la Lowassa. Akutana na familia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.

 
Eti Mtanzania wa kwanza kutembelea kaburi la Lowassa. Ndiyo maana mnaitwa manyumbu hivi hivi kwa ujinga wenu.
Waombolezaji,watoto wake,mke,nduguze,nk wote hao hawajalitembelea kaburi hadi huyo Masese awe namba one?
 
Eti Mtanzania wa kwanza kutembelea kaburi la Lowassa. Ndiyo maana mnaitwa manyumbu hivi hivi kwa ujinga wenu.
Waombolezaji,watoto wake,mke,nduguze,nk wote hao hawajalitembelea kaburi hadi huyo Masese awe namba one?
Wewe ndiye umeonyesha upumbavu wako ,jifunze kusoma ili uelewe kuliko kuuliza maswali, tuliosoma chini ya mstari tumeelewa kuwa ni mtanzania wa kwanza(offcourse)nje ya familia yake, sawa sasa tatizo lipo wapi?,kama umeona wivu, nenda kule Lushoto kuna milima mingi, go and jump to hell
 
Wewe nae naona unashindana na Lucas sasa, Mtanzania wa kwanza?

Martin amefanya vyema, familia ya Lowassa inastahili faraja kwa jinsi baba yao alivyoyagusa maisha ya wengi.
Ndio kishakuwa wa kwanza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…