Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.
Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.