mpaka sasa kura zote zimehasabiwa. zilizopigwa ni 12,338,667 Kenyatta amepata kura 6,173,433 sawa na asilimia 50.03 asilimia Odinga amepata kura 5,340,546 sawa na asilimia 43.11 asilimia. Raila Odinga kwa Imani Yangu, ameponzwa na historia ya familia yake, kwani duru za siasa zinamtaja mzee Odinga kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa rais wa kwanza wa kenya lakini aliamua kumwachia Kenyataa. Kuuza uzaliwa wa kwanza ni kosa kwa Mungu kama alivyofanya ESAU wa kwanza, kauza kwa YAKOBO wa pili. Mwanzo 24:24 hadi 34 inafundisha hili