March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Uhuru has bagged it with 4099 votes, do the math.
 
idadi yote ya kura zilizopigwa ni 12338667 ambazo nusu yake ni 6169333
 
Uhuru Muigai Kenyatta

(born 26 October 1961) is the
President Elect of Kenya since
9 March 2013. He won the
Kenyan general election, 2013
with 50.03% of the vote
avoiding a run-off against Raila
Odinga. He also served in the
government of Kenya as
Deputy Prime Minister since
2008. He is the Member of
Parliament for Gatundu South
Constituency and former
Chairman of Kenya African
National Union (KANU), which
was a part of the Party of
National Unity (PNU).
 
idadi yote ya kura zilizopigwa ni 12338667 ambazo nusu yake ni 6169333

mkuu hesabu ni kipaji kama nawewe ni mmoja wa walio athilika na ugonjwa wa maths wàchie watu wadadavue nikijumlisha kwa haraka kabisa naona ni zaidi ya 12,3**,*** ulizozisema wewe
 
mpaka sasa kura zote zimehasabiwa. zilizopigwa ni 12,338,667 Kenyatta amepata kura 6,173,433 sawa na asilimia 50.03 asilimia Odinga amepata kura 5,340,546 sawa na asilimia 43.11 asilimia. Raila Odinga kwa Imani Yangu, ameponzwa na historia ya familia yake, kwani duru za siasa zinamtaja mzee Odinga kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa rais wa kwanza wa kenya lakini aliamua kumwachia Kenyataa. Kuuza uzaliwa wa kwanza ni kosa kwa Mungu kama alivyofanya ESAU wa kwanza, kauza kwa YAKOBO wa pili. Mwanzo 24:24 hadi 34 inafundisha hili
 
Ambae ana matokeo yote pamoja na zilizo halibika pls atuwekee hapa....
 
Ilijulikana kabisa uhuru angeshinda tokea 2007 wakamwekea zengwe mahakama ya kimataifa wamejaribu kumweka mudavadi ili kura zigawanyike pia wameshindwa ni ngumu kwa mkikuyu kumchagua mjaluo.na mjaluo hivyo hivyo.hata baba yake kenyata jomo.alisharushiwa mawe kisumu na akaambiwa asikanyage kisumu.watu kadhaa wakauawa kwa risasi.uhasama ulianzia kwa joramongi odinga na jomo kenyata.
 
mkuu hesabu ni kipaji kama nawewe ni mmoja wa walio athilika na ugonjwa wa maths wàchie watu wadadavue nikijumlisha kwa haraka kabisa naona ni zaidi ya 12,3**,*** ulizozisema wewe

Haya leta hesabu yako tuione.
 
kawaida tu hakuna kumwagika damu patakua na utulivu tu wala msijali Mungu yupo atatuwezesha tunene kwa lugha moja
 
Hapa mshindi siyo Uhuru Kenyatta wala Raila Odinga bali mshindi halali wa uchaguzi huu ni wakenya!
 
Mbona nasikia mshindi lazima afikishe 50% + 1? Je uchaguzi utarudiwa?
Mkuu, mshindi lazima awe amepata 50% + 1 vote, sasa huyu bwana rais mteule kapata 50.03% which means ni 50% + 0.03%, ukikokotoa hesabu za darasa la tano au sita au la saba utagundua kuwa 0.03% ya kura zote ni zaidi ya kura moja, hivyo, Uhuru Kenyata aanakuwa ameshinda uchaguzi kiulaini.
 
Hapa mshindi siyo Uhuru Kenyatta wala Raila Odinga bali mshindi halali wa uchaguzi huu ni wakenya!

Siyo kweli Mkuu Arushaone, nakataa. Kindly look at kenyan politics in a multi dimensional way. Hapa mshindi ni kabila la kikuyu+kalenjin ambao kwa pamoja they make a significant voteing block kwa siasa za kenya against makabila mengine

1. once again tunashuhudia katika africa yetu ukabila ukitukuzwa na siyo sera ya candidate.

2. Ndio, Ukabila unatukuzwa na siyo personal integrity na uchapakazi wa mtu,

3. The list is looooong........

kwa maana nyingine as long as Kenya lives, kabila la kikuyu na kalenjin litaendelea kuwa na haki ya kutawala kenya simply kwa faida ya uwingi wao na siyo sera za watu watokao kwao.

No matter how much mjaluo au kabila lingine lina sera nzuri hawawezi kuchaguliwa kwa mantiki hii.

Kwangu mimi hii siyo siasa ya ushindani yenye tija, bali ni kukamiana na kusindana kikabila..

Sina uhakika sana kama uhuru ataweza kuongoza kwa ufanisi na kuleta mshikamano kitaifa watu ambao kwa karibu nusu hawamkubali na wanahisi kwamba wanatawaliwa kikabila zaidi. Mhh mimi naona kenya bado ngoma nzito kuelekea demokrasia ya kweli........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom