Marco Chali: Wimbo wa 'Freedom' sio wa Mr. Blue

Doesn't work that way
 
Kipi kinahalalisha uhalali wa blue kumiliki hyo wimbo?
Biti hajalipi
Idea sio yake
Mixing hajalipia
So kipi hasa
 
Its ok mkuu lakini kwan ukirekodi ngoma studio, hatimiliki inakuwa ya nani? Ya producer au ya msanii? na msanii akiwa chini ya lebo je? Hatimiliki ni yake au record label?
Inategemea mkuu
Makubaliano yakoje
U pay basi ownership ni yako,ukiwa chini ya lebo basi kuna makubaliano tofauti
 
Inategemea mkuu
Makubaliano yakoje
U pay basi ownership ni yako,ukiwa chini ya lebo basi kuna makubaliano tofauti
Makubaliano tofauti ndiyo yepi? Kwamba unarekod ngoma ukishindwa kuifanyia promo anapewa mwingine? lets call a spade by its name, not a big spoon!
 
Umepewa chance unaishia kupeleka nyimbo mkito unatulia tu wakati waliokupa chance wameumiza akili wanataka dunia ione matunda.
Big up Daxo na Marco
 
Its ok mkuu lakini kwan ukirekodi ngoma studio, hatimiliki inakuwa ya nani? Ya producer au ya msanii? na msanii akiwa chini ya lebo je? Hatimiliki ni yake au record label?


Huwezi kumiliki kitu bila kulipia. Nyimbo ni mali ya Daxo Chali, hata mimi nikienda kuingiza vocal nikapandisha Youtube sio Sugu au Mr.Blue kwenye haki ya kunishitaki. Kila kitu kimewekwa wazi hapa ila mnataka kumjaji Sugu kwa sababu zenu binafsi. Blue kaibiwa, utaibiwa vipi mali sio yako?
 

Marco amejibu kama kihiyo..nashangaa anatetewa na wapuuzi hapa...kama umeshampa mtu nyimbo basi ni yake suala la kupeleka radio au ku shoot video yeye linamhusu nini?..yaani kwa kuwa hakuona video ndio akaigawa tena nyimbo?? Unprofessional!!..ndio maana hawawezi kufika popote hawa maproducer mavvi wa kibongo!!
 

Sugu ameonyesha ni namna gani alivyo kihiyo...kama angeenda shule na hadhi yake ya ubunge asingefanya kitu unprofessional kama hicho..sugu kakaa nje na sasa mbunge lkn akili yake imebaki vile vile haikui..ndio maana akikutana na kina ruge anapigwa chenga za kibwege bwege na kuangukia pua!!..
 
Hii ni kick tu ya kumtangaza Daxochali watu wamjue.! Wanatuchukua tu akili zetu hawana jipya
 
Huyo Sugu ametia aibu mbunge mzima kuiba wimbo wa kijana mdogo.


Utetezi wanaotoa hauna ata mashiko.

Kama mashahiri yamemwishia kwani lazima aendelee kuimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…