Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #21
Hilo ghali sana, hapo Kilindi mliposokomezea wamasai ardhi ni bure au ukitaka kupeleka debe la mahindi unapewa hekari moja , kupanga ni kuchagua.Nipo km 30 kutoka eneo ambalo linauzwa laki moja na elfu kumi (110,000/=) kwa ekari moja.
Bei sawa na bure. Mtu akizozania vihamba vya Moshi huwa ninamdharau sana.
Kwanini Kiwanja robo eka Masaki-Dar ni bilioni 3 na kiwanja hicho hicho kilometa mbili toka masaki yaani Mwananyamala Msisiri-B ni milioni 40 ? ukipata jibu nitakupa jibu la hao ma-Mangi.