Marealle afungua kesi kutaka bibi yake afukuliwe mahala alipoishi miaka 80

Marealle afungua kesi kutaka bibi yake afukuliwe mahala alipoishi miaka 80

Hapana, kama huyo Mariale ni nduguyo mshauri tu kwamba wayamalize hayo mambo na waondoe kesi mahamakani then Krismass hii wachinje mnyama wale wanywe na mbege halafu wa kwenda kutafuta ardhi pengine aende.
Mimi si mchaga,sina undugu na sis hatushauri watu, ni kazi ya mawakili.
 
Kuna pori lisilo na mwenyewe?
gusa ungatwe.
mapori yote nchi hii yana wenyewe japo kwa ujumla ni mali ya serikali. Kuna ardhi ya kijiji kupata kipande lazima uone baraza la ardhi la kijiji. Ni kweli nchi ina ardhi kubwa sehemu mbalimbali kuipata kuna taratibu zake kutokana na unataka kuitumia ardhi kwa matumizi gani
 
Asante sana, Kindeena na wenzako pitieni hapa.
Kiungwana tu kwa kuwa hao ni ndugu wangeyamaliza tu yaishe. Ya nini kuzozania shamba kiasi cha kufukua kaburi?

Bado sioni mantiki. Mpaka ukoo unaenda kuchimba kaburi hapo ina maana kuna muongozo walifuata.

Kwa yeyote atakayeshinda kesi hii Mahakamani hatokuwa na amani
 
Mali ya Baba inanitoa roho,....Bora nikae peembeni, niinusuru roho yangu mimi, niinusustu Babaa...oiho yangu mimi......Harunaaaa

Mtu amepumzika kaburini, watoto wanataka kuuana kama vile wao wataishi milele
Ndio akili zetu waafirika mkuu sio cha kushangaa
 
Back
Top Bottom