Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #21
Hilo ghali sana, hapo Kilindi mliposokomezea wamasai ardhi ni bure au ukitaka kupeleka debe la mahindi unapewa hekari moja , kupanga ni kuchagua.Nipo km 30 kutoka eneo ambalo linauzwa laki moja na elfu kumi (110,000/=) kwa ekari moja.
Bei sawa na bure. Mtu akizozania vihamba vya Moshi huwa ninamdharau sana.
Sikumaanisha Same na Mwanga. Nilimaanisha Wilaya ya Moshi huko maana ndipo kwetu na ndipo kwenye population pressureSikumaanisha Same na Mwanga. Nilimaanisha Wilaya ya Moshi huko maana ndipo kwetu na ndipo kwenye population pressure
Sasa, wewe kama unauza identity yako uza, wayahudi baada ya miaka 4000 wamerudi kwao, wewe uza utu wako ni uchaguzi.
Niuze au ninunue? Unagombaniaje eka 2?Sikumaanisha Same na Mwanga. Nilimaanisha Wilaya ya Moshi huko maana ndipo kwetu na ndipo kwenye population pressure
Pamoja na yote bado hujanishawishi ndugu kuzozania eka mbili hapo Moshi aisee 😀Hilo ghali sana, hapo Kilindi mliposokomezea wamasai ardhi ni bure au ukitaka kupeleka debe la mahindo unapewa hekari moja , kupanga ni kuchagua.
Kwanini Kiwanja robo eka Masaki-Dar ni bilioni 5 na kiwanja hicho hicho kilometa mbili toka masaki yaani Mwananyamala ni milioni 40 ? ukipata jibu nitakupa jibu la hao ma-Mangi.
Kwako siyo potensho-huenda unaishi Buza kwa mama kibonge na umeridhika usiku chumba cha jirani wakitengeneza mtoto ile miguno unafurahia, mwenzio hata kwa bilioni atanunua robo heka ili akae kwa utulivu bila interference za majirani wanapokuwa wanatengeneza watoto.Niuze au ninunue? Unagombaniaje eka 2?
Bora zingekuwa eneo potential basi.
Wapi umeona wanazozana, si wapo mahakamani?Pamoja na yote bado hujanishawishi ndugu kuzozania eka mbili hapo Moshi aisee 😀
Pole sana Karani wa Mahakama.Kwako siyo potensho-huenda unaishi Buza kwa mama kibonge na umeridhika usiku chumba cha jirani wakitengeneza mtoto ile miguno unafurahia, mwenzio hata kwa bilioni atanunua robo heka ili akae kwa utulivu bila interference za majirani wanapokuwa wanatengeneza watoto.
ardhi ni baraka, kama ni laana waambie magaidi wa kiislamu wa HAMAS waondoke GAZA.Mpigieni 0768 710 000 awauzie mashamba ya laki 1, 2, 3, 4 na kuendelea.
Facebook: Sangamashamba. Pitia uone.
NB: Hakuna utapeli, na mtafute kwa nia nzuri
Acheni kuzozania mashamba ni laana.
Huo ni mzozo ndiyo maana umeenda mahakamani kuamuliwa. Mimi ni mwenyeji wa huko, na ni Mwanasheria kama wewe. Hunidanganyi! 😃Wapi umeona wanazozana, si wapo mahakamani?
Una tafsiri za ki-lay man.
Kushitaki ni kuzozana?
Kuzozania ardhi haswa kwa wanandugu siyo jambo nzuri. Nina uzoefu; sawa!ardhi ni baraka, kama ni laana waambie magaidi wa kiislamu wa HAMAS waondoke GAZA.
Mashamba ya kwenye fb?Mpigieni 0768 710 000 awauzie mashamba ya laki 1, 2, 3, 4 na kuendelea.
Facebook: Sangamashamba. Pitia uone.
NB: Hakuna utapeli, na mtafute kwa nia nzuri
Acheni kuzozania mashamba ni laana.
Una uzoefu wa kesi ngapi?Kuzozania ardhi haswa kwa wanandugu siyo jambo nzuri. Nina uzoefu; sawa!
mimi sipo Bar nipo Bench.Huo ni mzozo ndiyo maana umeenda mahakamani kuamuliwa. Mimi ni mwenyeji wa huko, na ni Mwanasheria kama wewe. Hunidanganyi! 😃
Uoga wako umasikini wako. Pamoja na kukaa mahakamani bado unaogopa conveyance?Mashamba ya kwenye fb?
Mkiliwa huko msije kulia lia hapa.
Wizarani penyewe watu wanauziwa double allocation seuze mashamba ya fb.?
Naona mna hela za kuchezea bora mujielekeze huko HANANG
Bench la ufundi?mimi sipo Bar nipo Bench.
my friend , its better you go to laundry your Boxer, if at all you use to than trying kunichokonoa!Bench la ufundi?
Kuna ADR. Mbinu za kumaliza mzozo ni pamoja na kujitoa, wote kushinda, kusuluhishana kifamilia nk.Unauzoefu wa kesi ngapi?
Mgogoro upi ni mzuri?
Uzoefu wako ni tofauti na wa mwengine.
Akizulumiwa mtu haki yake akae kimya? Jack Mengi akae kimya, Kesi zote mahakamani ziondolewe maana migogoro si mizuri, si ndio?
ADR na Mediation imeshindikana.Kuna ADR. Mbinu za kumaliza mzozo ni pamoja na kujitoa, wote kushinda, kusuluhishana kifamilia nk.
Kuna ukiritimba sana pale Moshi na hata Serikali inawashauri ila bado watu wamekaza mafuvu kuzozania vihamba visivyo na maajabu
Hapana, kama huyo Mariale ni nduguyo mshauri tu kwamba wayamalize hayo mambo na waondoe kesi mahamakani then Krismass hii wachinje mnyama wale wanywe na mbege halafu wa kwenda kutafuta ardhi pengine aende.my friend , its better you go to laundry your Boxer, if at all you use to than trying kunichokonoa!