Sawa!Utupe update
Hahaha! Hadi muda huu dakika ya 37. Belkane 2- Stellen 0.Vipi huko, mbona updates hutoi..? Wanawezaweza.?
tunazungumzia marefa wa kibongo!
Vp Kayoko hayupo?Waamuzi wa Tanzania ndio wanachezesha mechi ya shirikisho ambayo imeanza saa nne kamili kati ya RS Belkane vs Stellenbosch.
Mwamuzi wa kati-Ahmed Arajiga
Wasaidizi:
Salimu Mkono Mohamed
Seif Mpanga Kasimu
Nasir Salum Siyah
NB; Wengine hao wasaidizi wametoka Zanzibar sehemu ya Tanzania.
My take:
Hii mechi ntaiangalia mpaka mwisho mana sina usingizi ili nifanye tathmini kuhusu uwezo wa waamuzi wa Tanzania kwa kile wanachokifanya NBCPL na huko kimataifa ili kuona kama huwa kuna makusudi huku NBCPL!
Kayoko hayupoVp Kayoko hayupo?
Mpira ni half time. Belkane 2-Stellen.Hahaha! Hadi muda huu dakika ya 37. Belkane 2- Stellen 0.
Mpaka sasa marefa wetu wanaenda vizuri.
Kama kawaida, Arajiga siyo mtu wa kadi za haraka haraka. Kuna jamaa w Belkane kacheza rafu mbaya ila Arajiga kamuonya sana bila kadi!
Arajiga refa mzuri tu, tatizo huwa mnahemka na timu zenuKuhusu vipengele vingine, mambo yapo sawa. Dakika ya 46.
Hata mimi namuona leo ni wa kimataifa. Ameishajenga brand yake. Ajiepushe kabisa na urafiki wa wale mafahari wawili atafika mbali!Arajiga refa mzuri tu, tatizo huwa mnahemka na timu zenu
Ohoo!natest mzigo nione kitu chaarusha kweli au feki.
👇
Baba Abdu amchapa makofi mama Abdu wa magogoni kwa kuzurula hovyo.
haa,,,kumbe chenyewe bana ni og.