Jidanganyeni tu sawa lkn Ni vzr kuwaza hvyo Ila siyo sawa kwa mzazi kutoka public nakuanza kusema huna pesa usije kwangu SAS mbna bint ake kazalia nyumbani ameshachukia tiketi ya usingle mazasio mbaya kwa yeye kusema hivo ..alitambua jinsi gani umasikini unavyodhalilisha na kushusha heshima ya mtu ..hata wanawake wanalijua hilo kuwa kuolewa na mtu masikini ni kama ajali..
Alafu sio kila mtu kazaliwa kijijini..jamaa mzee wake alikuwa afisa maji pale tanga mjini, jamaa kazaliwa tanga mjini sasa sijui ajenge wapi? Sio kila mtu kazaliwa kwenye nyumba ya majani bwana.Kwa akina gardner ni wapi? Tanga, dar au rombo? Huyo anayemponda alitaka ajenge rombo? Why?
Tunaropoka sana aisee
Mwanaume wa maana ni mwenye sustainable income na strong family ties
Aliwahi kusema anamkojoza jideSikuwahi kusikia ana ugomvi na mtu, Alikua ni mtu na nusu muda wote kwake ni bata misosi ya kutosha drinks usipime
Gardner alikuwa mlevi na mpaka alikuwa balozi wa pombe kiufupi huyu alikuwa mtu wa hovyo hafai kuigwa katika jamii
Ndio! Miaka 15 ya ndoa ashindwe kukojoa hata mara 1?🤸Aliwahi kusema anamkojoza jide
Watanzania tuna ushamba Mwingi sanaAlafu sio kila mtu kazaliwa kijijini..jamaa mzee wake alikuwa afisa maji pale tanga mjini, jamaa kazaliwa tanga mjini sasa sijui ajenge wapi? Sio kila mtu kazaliwa kwenye nyumba ya majani bwana.
😂😂😂😂😂Ndio! Miaka 15 ya ndoa ashindwe kukojoa hata mara 1?🤸
Saana. Feminist wakaibuka from no where wakaanza kumuandamaIle kauli ilimkata ngebe jydee
Kukojoa jide alikua anakojoa😂😂😂😂😂
Apumzike Kwa Amani.
Wakati anatoa kauli Ile ilileta mjadala mkubwa saana. Wengine walisema kamdhalilisha jide wakisahau kuwa jide kila wimbo alikuwa anamuimba wengine walimsifu
Ila abaada ya kutoa ile kauli jide alirudisha makombora nyuma aliyokuwa anayarusha kwa gadner😂😂😂😂😂
Apumzike Kwa Amani.
Wakati anatoa kauli Ile ilileta mjadala mkubwa saana. Wengine walisema kamdhalilisha jide wakisahau kuwa jide kila wimbo alikuwa anamuimba wengine walimsifu
Sikubahatika kuitazama. Ila sijui hivi SASA hivi jide akisiliikiiza nyimbo alizomuimbia jamaaa sijui anahisijeKukojoa jide alikua anakojoa
Gadner alimvumilia sana jide
Ile reality show nilikua namuonea huruma G
Anafanyiwa visa mbele ya kipindi wote tunaona anajibiwa jeuri na jide, anafanya kazi za nyumbani kwa kuamrishwa na jide
Naam akaanza kulia Lia nakutafuta hurumaIla abaada ya kutoa ile kauli jide alirudisha makombora nyuma aliyokuwa anayarusha kwa gadner
Kwahiyo UNAUMIA sana marehemu kupewa sifa kede kede? Ukaona hapa haiwezekani ngoja na wewe umwage mabaya yake kede kede?........ Mkuu ukizeeka utakuja kuwa MCHAWI WEWEWala simchukii marehemu mm ila tu nashangazwa na sifa kedekede anazo pewa
Kwani imekuuma ee!?Wivu gani Sasa nilio nayo kwake ,Ni ujinga mzazi kuja public , hadharani na kuanza kutamka maneno yaki puuzi hadharani ,daima tutamkukbuka marehemu kwa mabaya na mazuri yake
Kama. Wako ndugu zake hapa waumie vilivyo wajue tu kuwa ndugu Yao alikuwa miyeyusho sna
Tutayabebe yote yote hata hil la kumsema jide kuwa alimkojaza forIla Waja khaaa .......Mtu kashakuwa marehemu ila bado una nongwa khaaa!? sasa mtoto azalie kwa baba ake wewe huku upate mtoki. Acha hizo mwacheni baba wa watu apumzike chukueni mema yake mabaya muachieni mwenyewe.