Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Kazi ya kujenga kwao ni ya baba yake.
 
Sijaona kosa lake hapo!!
Ndivyo alivyoona inafaa!

Mengine siyo laana ni nature imeamua!

Unaweza kuolewa na maskini lakini ni tajiri was kesho!

Au ukaolewa na anaeoonekana ni tajiri lakini ni maskini was kesho!

Mali ni kiumbe hai Ina macho,masikio inaweza kuchoropoka wakati wowote!
 
Nss

Ndio lkn siwezi kutoka hadharani
Hutoki hadharani sababu ipo wazi.
Yaani ni sawa na binti wa shule mwenye ujauzito hawezi ulizwa kama kawahi kufanya ngono, swali analoulizwa ni kafanya na nani. Suala la kufanya ngono lipo wazi.
 
Ni ndoto zake binti yake aolewe tajiri, mbona huku kitaa wababa wengi wanapenda mabinti zao waolewe na matajiri sema wanajifanya kutoongea, hata kwenye familia wanaoheshimika ni walioolewa na matajiri. Marehemu amekuwa muazi
 
Unajenga vipi sehemu ambayo hauishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…