Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Neno hati ya manunuzi umelikariri sana. Badala ya hati ya manunuzi sema mkataba wa manunuzi

Sio lazima jina liandikwe lako hata kama wewe ndio umenunua, jina litaandikwa lile unalotaka, unaweza kumuweka hata mchepuko wako
Sasa mbona umerudi kule kule , ili hivi vitu viendane wakati wakuguatilia hati ya ardhi wizarani lazima uhakikishe vinashabiiana, swali langu kama yeye Ndio alienunua hiki kiwanja why haki kuandika mwa kwa Jina lake kwenye hati ya manunuzi, Hivi vitu tunevuishi sisi sio kwamba tunasimulia kuwafurahisha.
 
Mtoa mada ww nae ndezi tuu au ww nae n mwanamke wa kichaga.

Kwenye maelezo sijaona mahali penye uthibitisho kuwa nyumba ni ya mwanamke, hata kama ikiwa n ya mwanamke na wamefunga ndoa ilipaswa kuwa nyumba ya wote kama ilivyo kwa wanawake wakiachana unakuta mwanamke analilia nyumba hata kama hajachangia hata mchanga kisa tuu walioana
 

alesema kuwa alikuwa kapuku ni nanI?
 
Kwa sheria ipi?
 
Wanawake ni waongo,mshikaji alivyo kama angekuwa kapuku yule demu asingemkubali.Inaonekana jamaa alikuwa vyena kifedha labda hapo kati mambo yakaharibika ndo demu akaanza kumzingua.Mwanaume hajaeahi kumuua mwanamke kwa sababu ya mali ya mwanamke.Isitoshe huyo mwanamke umezaa naye,sasa aliandika jina lake na la watoto na mali ni yake,mwanaume Gani anaweza kumuua?
 
Ila mwanaume akijenga n nyumba ya wote? Au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…