Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
N
Sema kingine
Nina 5 years and so kwenye ndoadhahiri hujaoa ukioa wala kuishi na mwanamke maisha kwa zaidi ya miaka mitano ndo utaelewa vizuri nini hupelekea watu kufanya maamuzi ya hovyo maishani.
unless otherwise kama wewe ni feminist activist ni sawa kwa jibu lako.
Sema kingine