Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Wewe hujielewi. Umesema lazima uwe na mali, nimekuambia sio lazima na nimekupa sababuungesoma comment yangu vizuri kulikuwa hakuna haja ya hili gazeti au neno status unalielewaje mkuu

sawaWewe hujielewi. Umesema lazima uwe na mali, nimekuambia sio lazima na nimekupa sababu
Hajielewi kabisa. Kakariri lazima uwe tajiriAtakuumiza kichwa huyo
Ova
😄 nimekua nikilihisi hili kwa muda sasa.Conclusion
inaonyesha mtoa mada ni mwanamke aliyejificha kwenye id ya kiume
Uko mwanya kisheria ambao unaweza umpa nafuu ya adhabu pengine hata uhuru ila sio leo wala kesho
Yaahh hakuna aliyekuwepo wakati kweka anamshoot Jane, inawezekana conversation ya mwisho ilitoka kuhusu nyumba(mtego tulioingia wachangiaji wote) ikaingia kwenye kwa mfano ""hata hao watoto wenyewe wengine sio wako""kauli ambayo inaweza nvumiliwa na mume mwenye akili hisia ya hali ya juu (80+)
hiyo ikafanya kesi yake ionekane aliuwa bila kukusudia ambayo nayo itazaa arguement nyingine kwamba Kweka hapo akkwliwahi kkutishia
kumuuwa marehemu, ugumu wa kesi hizi zinahitaji uthibitisho 100% kitu ambacho kinachoweza upenyo Kw
Kama Jane alitaka jina lake liwe kwenye hati ina maana alikuwa hamwamini mume wake waliyezaa naye watoto wanne! Alitaka jina lake litokee kwenye hati ili iweje!? Kiafrika watoto wanarithi mali ya baba. Kutaka jina lake liwe kwenye hati maana yake alitaka watoto wao waje wapate hiyo mali kama hisani na sio kisheria. Waafrika tunarithi majina ya ukoo yanayotoka kwa baba, hata mirathi tunagawana ya baba, mali ya mama inakuwa ni kwa hisahi tu ndio maana kwenye issue ya mali watoto wanauwezo wa kula sahani moja na akina shangazi au ba mdogo/mkubwa lakini sio akina mjomba.Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi.
Tukio hilo linadaiwa kutokea Alhamisi, Oktoba 1, 2026, majira ya saa 11:30 alfajiri ndani ya nyumba ya wanandoa hao. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Faustine Mafwele, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa anashikiliwa kwa ajili ya upelelezi.
Kwa mujibu wa Mafwele, Laurent na marehemu walikuwa wanandoa na wote walitoka mkoani Kilimanjaro. Ameongeza kuwa baada ya uchunguzi na taratibu za kisheria kukamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo, Rebecca Mbasha, ambaye amefanya kazi nyumbani hapo kwa miaka minane, amesema mauaji hayo yanadaiwa kufuatia mgogoro wa muda mrefu wa kifamilia kuhusu umiliki wa nyumba.
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani.
Kwa upande wake, Jacqueline Nkaya, ambaye ni mama mdogo wa marehemu, amesema wanandoa hao walikuwa na mgogoro wa muda mrefu na wakati mmoja Jeni aliwahi kutishiwa kuuawa kwa bastola na mumewe, jambo aliloliripoti Polisi.
Amesema Laurent aliondoka na kwenda Kilimanjaro ambako alikaa takribani miezi miwili kabla ya kurejea Dar es Salaam siku ya tukio.
Majirani wamesema hawakuwa na taarifa za migogoro hiyo, wakieleza kuwa familia hiyo ilikuwa ikionekana kuishi kwa amani tangu ilipohamia katika nyumba hiyo Desemba 2025.
Marehemu ameacha watoto wanne, watatu wakiwa shuleni na mmoja bado hajaanza shule.
Chanzo : Global
Vijana tuache kulazimisha mambo tufanye kazi tusing'ang'anie mali za wanawake
Janamke lilikuwa na tamaa sana Daaahhh!!Sema wanawake bwana mda mwingine wanatuvuruga sana, yaani wamehamia kwenye nyumba mwaka jana tu disemba hata mwaka hawajamaliza ila tayari mwanamke anataka hati ya nyumba na kiwanja majina yabadilishwe yaandikwe yake. So sad
Nimeishamaliza KAZI,polisi wa zamu: KAZI Gani?Dah Kwahiyo alifika polisi akasema jamani nimetoka kumuua mke wangu. Mungu amuweke mahala pema huyo mwanamke.
Inasikitisha sanaaNimeishamaliza KAZI,polisi wa zamu: KAZI Gani?
Mwamba: si yule mwanamke aliyekuja kunishtaki.
Polisi: umemfanyaje?
Mwamba :Nimemfumua ya kichwa.
Polisi. Umemfumua na ngumu?
Mwamba:Ngumi! Eehe,chezea hii( anamuonesha bastla)
Polisi:Samahani,naomba uiweke hapa mezani(anaiweka)
Polisi anatoka gloves kwenye draw halafu anamuita mwenzake potiii,potiii.Anavaa gloves haraka haka na kumtoa Ile silaha mezani kisha anamrudia Mwamba.
Polisi:Rafiki hebu kaa kwanza.
Mwamba:Nakaa lakini nshakwambia ,nimemaliza KAZI,nendeni nyumbani mkamchkue mtu wenu.
DuhNimeishamaliza KAZI,polisi wa zamu: KAZI Gani?
Mwamba: si yule mwanamke aliyekuja kunishtaki.
Polisi: umemfanyaje?
Mwamba :Nimemfumua ya kichwa.
Polisi. Umemfumua na ngumu?
Mwamba:Ngumi! Eehe,chezea hii( anamuonesha bastla)
Polisi:Samahani,naomba uiweke hapa mezani(anaiweka)
Polisi anatoka gloves kwenye draw halafu anamuita mwenzake potiii,potiii.Anavaa gloves haraka haka na kumtoa Ile silaha mezani kisha anamrudia Mwamba.
Polisi:Rafiki hebu kaa kwanza.
Mwamba:Nakaa lakini nshakwambia ,nimemaliza KAZI,nendeni nyumbani mkamchkue mtu wenu.
Usibishane na mbangaz tafadhali, chana nao.Okay kwahiyo wanaouwana kwenye ndoa ni wachagga tu sio?
Wakina nani hao?Tatizo hawa ndugu zetu wanaabudu sana mali .
Ushamba na wivu ndio tatizo laoUsibishane na mbangaz tafadhali, chana nao.
Kila kitu wachaga wachaga
Kuna mmoja yeye alinunua kwa garama yake, hati kaandika mista & mrs.....sahivi jamaa anazngua hata ada halipi kwa watoto wake wa ndoa....yuko bize na michepukoo....mwanamke ndio kama anajilaumu alichofanya, bora abadili hata aandike jina la mtoto wake tu mana jamaa ni mtoto wa mjini alafu ana watoto wengine nje ya ndoa yake.....huyu mwanamke yeye alikolea penzi likamsahaulisha tabia za huyu mume aliemuoa.....Kama yeye ndo alinunua kwanini hakuweka majina yake toka mwanzo?
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Mke wake ametokea Kilimanjaro ( Angemalizia kabisa kwa kusema ni .. Mchaga)
Ni bahati mbaya sana Mume hakupata ushauri wa jinsi nzuri ya kumaliza hilo tatizo.Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi.