Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Kiwanja kilikuwa cha akina Jane (chake)na hakikuwa na hati.Hati ingekuwepo tangu mwanzo kusingekuwa na mayele..Nyumba ilipojengwa,mume akaandika jina lake kuleee halmashauri ambapo mke hakuwepo.Alipojua hilo ndipo kazeze ikaanza.
NB;Rule number one:Usijenge ukweni/kwa mke.
Rule number two:Mchumba hasomeshwi.
Nami nasisitiza tena: Rule number one:Usijenge ukweni/kwa mke.
Rule number two:Mchumba hasomeshwi.
 
Kiwanja kilikuwa cha akina Jane (chake)na hakikuwa na hati.Hati ingekuwepo tangu mwanzo kusingekuwa na mayele..Nyumba ilipojengwa,mume akaandika jina lake kuleee halmashauri ambapo mke hakuwepo.Alipojua hilo ndipo kazeze ikaanza.
NB;Rule number one:Usijenge ukweni/kwa mke.
Rule number two:Mchumba hasomeshwi.
Hii wanaume watapita kama wanaaga maiti
Mana wamemhukumu sana huyo dada wakisema ana tamaa ya mali
 
Kwamba "marehemu alishawahi kutishiwa bastola" na bado maisha yakaendele kama hakuna shida?. Ilihitajika tishio gani kuona kwamba mambo yameshavuka mstari?.
 
Inawezekana kabisa nyumba isiwe kisababishi kikuu; kisababishi kinacho pandisha hasira mpaka kuua inawezekana ni kuliwa mkeo na mke kumpa kipaumbele mchepuko​
Maneno haya yanaleta wasiwasi "........Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani..".
Huyo mdada anapewa Taarifa kama nani? Huyo mdada anawezaje kuingia kirahisi chumbani kwa boss wake ili kuthibitisha kazi imemalizika? Huyo mdada anaujasiri gani wa kumkagua Jeni na kugundua ana jeraha kichwani na sio kifuani, shingoni etc?
 
Ambacho nimeshuhudia kwa wanawake wengi waliopenda, huwa hata kama pesa ni yake imetumika kununua kiwanja na kujenga huwa wanaacha umiliki usome kwa mwanaume kwa ajili ya kumpa heshima mwanaume.

Mapenzi yanapoisha ndio hapo mwanamke huanza kusema "kwanza hii nyumba nilijenga mimi"
Utadhani wanaume huwa hawasemi hivyo
Afterall kwani uongo?kuna shida gani mtu kumiliki mali yake? Was pyu pyu necessary?.
 
Hakuna cha kujua ukweli …. Hana justification yoyote ya kuua …..

Mwanaume hata kama unamfumania mke wako analiwa….. a reall man will stay back

Hakuna chochote ambacho justification yake ni kuua
dhahiri hujaoa ukioa wala kuishi na mwanamke maisha kwa zaidi ya miaka mitano ndo utaelewa vizuri nini hupelekea watu kufanya maamuzi ya hovyo maishani.

unless otherwise kama wewe ni feminist activist ni sawa kwa jibu lako.
 
Maneno haya yanaleta wasiwasi "........Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani..".
Huyo mdada anapewa Taarifa kama nani? Huyo mdada anawezaje kuingia kirahisi chumbani kwa boss wake ili kuthibitisha kazi imemalizika? Huyo mdada anaujasiri gani wa kumkagua Jeni na kugundua ana jeraha kichwani na sio kifuani, shingoni etc?
Maswali yako ni mepesi sana mkuu tulia ujenge maswali yenye mantiki
 
dhahiri hujaoa ukioa wala kuishi na mwanamke maisha kwa zaidi ya miaka mitano ndo utaelewa vizuri nini hupelekea watu kufanya maamuzi ya hovyo maishani.
Hajawahi kuona mtu ameua lakini baada ya mchakato wa Kimahakama akaachiwa huru - hana hatia?
unless otherwise kama wewe ni feminist activist ni sawa kwa jibu lako.
 
Maneno haya yanaleta wasiwasi "........Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani..".
Huyo mdada anapewa Taarifa kama nani? Huyo mdada anawezaje kuingia kirahisi chumbani kwa boss wake ili kuthibitisha kazi imemalizika? Huyo mdada anaujasiri gani wa kumkagua Jeni na kugundua ana jeraha kichwani na sio kifuani, shingoni etc?
KInachotokea mwishoni huwa ni matokeo ya yale yaliyokuwa yakiwaumiza siku nyingi kwenye mioyo yao huko nyuma.
Wengi tunaongelea matokeo, na si chanzo cha hayo yote.
 
Exactly. Sasa hivi imebaki ni Rumors kwamba ilikuwa ni .... walikuwa na mi..... Yule aliyetakiwa awepo aseme ukweli ndo kesha Ripishwa (RIP).
 
Hajawahi kuona mtu ameua lakini baada ya mchakato wa Kimahakama akaachiwa huru - hana hatia?
ni kweli wengi humu wacomment ushabiki usio na hoja wala kujenga hoja zenye kuleta msaada kwa jamii iliyobaki kujirekebisha na kuepuka haya mambo mbeleni. ni udaku udaku tu. vyenye viashiria vya ukabila na umarioo pasipo kuwa na taarifa kamili za mtuhumiwa uwezo wake kiuchumi na alikosewa nn mpaka kufkia maamuzi hayo ya kufikia kuua. wanasahau hata yeye ni mwanadamu na anamoyo wa nyama pia mipaka yake kwenye maisha.
 
Hivi lazma kuoa?!
Basi nashauri itokewe elimu vizuri ya prenup aggreements(mkataba wa namna mali zikae kabla ya kufunga ndoa) kuliko hivi kuishi mnachungamilana!
Kwa tz prenup agreement haifanyi kazi!

Ova
 
Nasemaje hata mm ningefanya.
Mambo yenyewe kumbe ndio haya.
 
Attachments

  • Screenshot_20261004_164026_Facebook.jpg
    Screenshot_20261004_164026_Facebook.jpg
    233.6 KB · Views: 11
Aisee...pole ya jamaa!

Mimi ningekuwa sikuondoka na kumuacha mke na kila kitu, am sure ningekuwa jela....wanawake hawa waone tu hivi hivi.anakugeuka kiasi uamini kama ni yy...na maneno mabaya sana anakupa plus kukuonesha hata kuwa ana mtu .
 
Back
Top Bottom