Nina 5 years and so kwenye ndoadhahiri hujaoa ukioa wala kuishi na mwanamke maisha kwa zaidi ya miaka mitano ndo utaelewa vizuri nini hupelekea watu kufanya maamuzi ya hovyo maishani.
unless otherwise kama wewe ni feminist activist ni sawa kwa jibu lako.
Ujibu wako tu unakuelezea vizuri kuliko jibu lenye. itoshe kusema tafuta story nzima ndo ujipimie kama uli judge kwa kuskia basi endelea kufwatilia endelea kufwatilia na ujipimie kuona kama ni wewe ungefanya nini.N
Nina 5 years and so kwenye ndoa
Sema kingine
Kumiliki bastola sio lazima uwe tajiri. Hata wa kipato cha kawaida anawezaHii taarifa inanuka opotoshaji unawezaje kumiliki silaha ikiwa huna mali unazomiliki. Jamii inapikwa hapa ili ionekane jamaa ndio kazingua na kumtetea mwanamke ambaye ndiye chanzo, we are cooked.
siyo kweli umiliki wa silaha huwa na vigezo maalum na mali kianzia kiasi flani kuhusu dogo janja humjui vizuri achilia mbali nafasi yake kwenye jamii kumwongezea credit ya kujipatia ulinzi binafsi. tuwe tunajifunza kufwatilia vitu jamani kufuta ushamba na ushabiki wenye kutuanika uwezo wa akili zetu kufkiri nje ya box.Kumiliki bastola sio lazima uwe tajiri. Hata wa kipato cha kawaida anaweza
Nakupa mfano rahisi tu, dogo janja anamiliki bastola. Kwa maana yako wewe dogo janja ana mali? Ni tajiri?
Nyie ndio huogopa kuingia kununua bidhaa supermarket mkiamini supermarket ni kwa ajili ya matajiri
Simjui vizuri? Si ndio? Ukiacha kuwa mwanamuziki ana status ipi kwa jamii? Kimbuka kuwa amemiliki bastola kabla hajawa diwanisiyo kweli umiliki wa silaha huwa na vigezo maalum na mali kianzia kiasi flani kuhusu dogo janja humjui vizuri achilia mbali nafasi yake kwenye jamii kumwongezea credit ya kujipatia ulinzi binafsi. tuwe tunajifunza kufwatilia vitu jamani kufuta ushamba na ushabiki wenye kutuanika uwezo wa akili zetu kufkiri nje ya box.
MbeeeUrassa ni mwanamke, kweka ni mwanaume.
Fake newsNasemaje hata mm ningefanya.
Mambo yenyewe kumbe ndio haya.
Kumiliki silaha priority ni utimamu sio helaSimjui vizuri? Si ndio? Ukiacha kuwa mwanamuziki ana status ipi kwa jamii? Kimbuka kuwa amemiliki bastola kabla hajawa diwani
Alafu nimekutolea mfano wa huyo sababu niliamini ingeeleweka kirahisi. Lakini naona mekua mgumu kuelewa
Narudia kukueleza kumiliki bastola sio lazima uwe tajiri, sio lazima uwe na mali
Narudia Kwa mara ya pili sio lazima uwe tahiri ndio umiliki bastola. Kama Kuna aliyekuongopea basi mimi Leo nakusanua
Ngoja ninyamaze mana sijui kama unaelewa hata unachobishia kiukweli kwa kukusaidia rudi soma comment yangu vizuri ukiwa umetulia utanielewa. na kumbuka siongelei akiwa kwenye nafasi ya udiwani. na wala sijui hata ni Diwani zaidi nimeongelea kama mwanamziki.Simjui vizuri? Si ndio? Ukiacha kuwa mwanamuziki ana status ipi kwa jamii? Kimbuka kuwa amemiliki bastola kabla hajawa diwani
Alafu nimekutolea mfano wa huyo sababu niliamini ingeeleweka kirahisi. Lakini naona mekua mgumu kuelewa
Narudia kukueleza kumiliki bastola sio lazima uwe tajiri, sio lazima uwe na mali
Narudia Kwa mara ya pili sio lazima uwe tahiri ndio umiliki bastola. Kama Kuna aliyekuongopea basi mimi Leo nakusanua
Ndio najaribu kuwaeleza hawa waliokaririKumi
Kumiliki silaha priority ni utimamu sio hela
HahaKumiliki bastola sio lazima uwe tajiri. Hata wa kipato cha kawaida anaweza
Nakupa mfano rahisi tu, dogo janja anamiliki bastola. Kwa maana yako wewe dogo janja ana mali? Ni tajiri?
Nyie ndio huogopa kuingia kununua bidhaa supermarket mkiamini supermarket ni kwa ajili ya matajiri
Sio lazima utajiri mkuu ,, wapo wengi tu wanamiliki silaha na hawana hata milion 200,, au huo ndio unaouita utajiri wewe?Ngoja ninyamaze mana sijui kama unaelewa hata unachobishia kiukweli kwa kukusaidia rudi soma comment yangu vizuri ukiwa umetulia utanielewa. na kumbuka siongelei akiwa kwenye nafasi ya udiwani. na wala sijui hata ni Diwani zaidi nimeongelea kama mwanamziki.
Kumbuka lazima uainishe sababu za kutaka kumili silaha unataka kulinda nn au kujilinda na nn. (hapa ndipo kigezo cha umiliki wa mali au status yako kinapoingia na lazima kiwe chenye kushawishi umilikishwaji) huwezi milikishwa kiholela kisa nawe unataka kumiliki kijana
ivi kile kipengele cha tatu kwenye fomu yao huwa kinasemaje? tumia hata Google kuficha uwezo wako kakaNdio najaribu kuwaeleza hawa waliokariri
Nimekueleza kuhusu dogo janja huo ulikua mfano tu nikiamini ungepata pichaNgoja ninyamaze mana sijui kama unaelewa hata unachobishia kiukweli kwa kukusaidia rudi soma comment yangu vizuri ukiwa umetulia utanielewa. na kumbuka siongelei akiwa kwenye nafasi ya udiwani. na wala sijui hata ni Diwani zaidi nimeongelea kama mwanamziki.
Kumbuka lazima uainishe sababu za kutaka kumili silaha unataka kulinda nn au kujilinda na nn. (hapa ndipo kigezo cha umiliki wa mali au status yako kinapoingia na lazima kiwe chenye kushawishi umilikishwaji) huwezi milikishwa kiholela kisa nawe unataka kumiliki kijana
ivi kwanini mnapenda kutafuniwa kila kitu nani alikwambia ulinzi ni pesa tu? ingawa kiuhalisia kwamjini hicho ndo kigezo kikuu tofauti na pesa unalinda nini tena? jaribuni hata ku Google form ya kujaza kufuta ushamba na kuachana na story za vijiweni/udaku.Sio lazima utajiri mkuu ,, wapo wengi tu wanamiliki silaha na hawana hata milion 200,, au huo ndio unaouita utajiri wewe?
Unaogopa nini kuandika ili nikujibu, unataka tena niende google? Wewe andika hiuo hoja yako alafu mm nijibuivi kile kipengele cha tatu kwenye fomu yao huwa kinasemaje? tumia hata Google kuficha uwezo wako kaka
ungesoma comment yangu vizuri kulikuwa hakuna haja ya hili gazeti au neno status unalielewaje mkuuNimekueleza kuhusu dogo janja huo ulikua mfano tu nikiamini ungepata picha
Kuhusu sabahu nadhani sasa nikikueleza unaweza kuelewa. Ngoja nikusaidie
Mtu yuyote asiye na Mali anaweza kumiliki silaha, sababu atayotoa ni mazingira anayoishi. Mfano wale wanaoishi pembezoni mwa mji/nje ya mji. Kama anayeishi kule mwongozo kigamboni au mabwepande anaweza kutoa sababu hiyo na akamilikishwa
Sababu ya pili ni mazibgira Yako ya kazi, hapa hata dereva wa bolt anaweza kupata badtola sababu anaweza kusema mazingira yake ya kazi muda wa usiku si salama hivyo anawualify kabisa kupewa bastola.
Bado hujaelewa?
Atakuumiza kichwa huyoNimekueleza kuhusu dogo janja huo ulikua mfano tu nikiamini ungepata picha