Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
- Thread starter
-
- #521
Abadili tu😅Kuna mmoja yeye alinunua kwa garama yake, hati kaandika mista & mrs.....sahivi jamaa anazngua hata ada halipi kwa watoto wake wa ndoa....yuko bize na michepukoo....mwanamke ndio kama anajilaumu alichofanya, bora abadili hata aandike jina la mtoto wake tu mana jamaa ni mtoto wa mjini alafu ana watoto wengine nje ya ndoa yake.....huyu mwanamke yeye alikolea penzi likamsahaulisha tabia za huyu mume aliemuoa.....
Dah kuna mwanangu kaacha ghorofa kigamboni, mambo ya kujenga kwenye kiwanja alichopewa demu siku ya send off, dah noma sana, karudisha mpira kwa kipaMara nyingi ni zawadi ya baba siku ya send off. Sasa bwana harusi ali-assume naye anahusika!
Wajuzi humu wameshauri sana kuhusu hili; usijenge nyumba kwenye kiwanja cha mkeo. Na kama ni hivi vya kupewa na familia yake ndio even worse!Dah kuna mwanangu kaacha ghorofa kigamboni, mambo ya kujenga kwenye kiwanja alichopewa demu siku ya send off, dah noma sana, karudisha mpira kwa kipa
Vijana mkipewa viwanja na wale jambo la kwanza kabadilisheni umiliki muweke majina yenu wote wawili ndio muenselezeDah kuna mwanangu kaacha ghorofa kigamboni, mambo ya kujenga kwenye kiwanja alichopewa demu siku ya send off, dah noma sana, karudisha mpira kwa kipa
Najiuliza lengo la ndoa na kinachowatokea wahusika nakubaliana na Dr Maduhu aliposema usipomwandaa wa kuoana naye mkiwa marafiki mkaja kuoana mkomao 2 wazoefu wa kujiamulia mambo, mnaishia kuumizana kwasababu hamna gundi ya ndani! Mpo kiofisi na kwa sababu za kijamii!Watu wanaoa kuepuka kuambiwa ni mashoga, au wanaolewa kuepuka kuambiwa ni wasagaji, ilihali wao binafsi ndoa hawazitaki wala ndoa yenyewe haiwahitaji, wanaamua kuishi kinafiki, mwisho scenes za maigizo zinaisha, unakuja uhalisia sasa, ndipo Risasi, magunia ya mkaa au sumu zinahusika.
A million dollar question.Kama yeye ndo alinunua kwanini hakuweka majina yake toka mwanzo?
Hongeraa yako sana!N
Najiuliza lengo la ndoa na kinachowatokea wahusika nakubaliana na Dr Maduhu aliposema usipomwandaa wa kuoana naye mkiwa marafiki mkaja kuoana mkomao 2 wazoefu wa kujiamulia mambo, mnaishia kuumizana kwasababu hamna gundi ya ndani! Mpo kiofisi na kwa sababu za kijamii!
Tukubaliane tu wanawake ndo wamejikomboa kifikra na kiuchumi lakin wanaume wamebaki kazamani (conservatism). Lazma kiumane!
Heri yangu bruda
Baharia huyo atapata nyingine tu kuna mwamba aliacha gorofa huko uchagani akakimbilia Mbeya sasa hivi ni meli alitoka yeye tu na nauli yake kwenda sehemu ingine kutafuta maisha akiwa stand akawaza Mbeya akapanda bus la mby watoto walikua upande wa mama ila sasa hivi naona watakua wanajuta maana mali nyingi ziliuzwa..Dah kuna mwanangu kaacha ghorofa kigamboni, mambo ya kujenga kwenye kiwanja alichopewa demu siku ya send off, dah noma sana, karudisha mpira kwa kipa
sawa ila ukijisikia unataka KUUA, [kwa sababu yeyote ile], jua shetani amekuingia anataka umfanyie kazi yake.Mimi nafikiri watuhumiwa wa mauaji kama haya wawe wanapewa nafasi ya kusimulia upande wao na stori hizo ziwekwe public. Kuna mambo mengi yanakua yanaendelea hadi mtu kuchukua hatua nzito kama ya kuua. Kuendelea kufanya mambo haya ni siri ya wapelelezi tunakosea sana.
Mkuu hii habari yako si ya kweli.Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi.
Tukio hilo linadaiwa kutokea Alhamisi, Oktoba 1, 2026, majira ya saa 11:30 alfajiri ndani ya nyumba ya wanandoa hao. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Faustine Mafwele, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa anashikiliwa kwa ajili ya upelelezi.
Kwa mujibu wa Mafwele, Laurent na marehemu walikuwa wanandoa na wote walitoka mkoani Kilimanjaro. Ameongeza kuwa baada ya uchunguzi na taratibu za kisheria kukamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo, Rebecca Mbasha, ambaye amefanya kazi nyumbani hapo kwa miaka minane, amesema mauaji hayo yanadaiwa kufuatia mgogoro wa muda mrefu wa kifamilia kuhusu umiliki wa nyumba.
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani.
Kwa upande wake, Jacqueline Nkaya, ambaye ni mama mdogo wa marehemu, amesema wanandoa hao walikuwa na mgogoro wa muda mrefu na wakati mmoja Jeni aliwahi kutishiwa kuuawa kwa bastola na mumewe, jambo aliloliripoti Polisi.
Amesema Laurent aliondoka na kwenda Kilimanjaro ambako alikaa takribani miezi miwili kabla ya kurejea Dar es Salaam siku ya tukio.
Majirani wamesema hawakuwa na taarifa za migogoro hiyo, wakieleza kuwa familia hiyo ilikuwa ikionekana kuishi kwa amani tangu ilipohamia katika nyumba hiyo Desemba 2025.
Marehemu ameacha watoto wanne, watatu wakiwa shuleni na mmoja bado hajaanza shule.
Chanzo : Global
Vijana tuache kulazimisha mambo tufanye kazi tusing'ang'anie mali za wanawake
Kuna swali wanawake huuliza,Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi.
Tukio hilo linadaiwa kutokea Alhamisi, Oktoba 1, 2026, majira ya saa 11:30 alfajiri ndani ya nyumba ya wanandoa hao. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Faustine Mafwele, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa anashikiliwa kwa ajili ya upelelezi.
Kwa mujibu wa Mafwele, Laurent na marehemu walikuwa wanandoa na wote walitoka mkoani Kilimanjaro. Ameongeza kuwa baada ya uchunguzi na taratibu za kisheria kukamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo, Rebecca Mbasha, ambaye amefanya kazi nyumbani hapo kwa miaka minane, amesema mauaji hayo yanadaiwa kufuatia mgogoro wa muda mrefu wa kifamilia kuhusu umiliki wa nyumba.
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani.
Kwa upande wake, Jacqueline Nkaya, ambaye ni mama mdogo wa marehemu, amesema wanandoa hao walikuwa na mgogoro wa muda mrefu na wakati mmoja Jeni aliwahi kutishiwa kuuawa kwa bastola na mumewe, jambo aliloliripoti Polisi.
Amesema Laurent aliondoka na kwenda Kilimanjaro ambako alikaa takribani miezi miwili kabla ya kurejea Dar es Salaam siku ya tukio.
Majirani wamesema hawakuwa na taarifa za migogoro hiyo, wakieleza kuwa familia hiyo ilikuwa ikionekana kuishi kwa amani tangu ilipohamia katika nyumba hiyo Desemba 2025.
Marehemu ameacha watoto wanne, watatu wakiwa shuleni na mmoja bado hajaanza shule.
Chanzo : Global
Vijana tuache kulazimisha mambo tufanye kazi tusing'ang'anie mali za wanawake
Kuna mzee mmoja nae alikata mke vipande kwa dharau baada ya kupewa nyumba na bamkwe siku ya harusi. Ilifika hatua mkewe alikuwa akimwambia yule mzee kuwa ni mke mdogo wa baba yake. Mzee alishindwa vumilia akamtangulizaDah kuna mwanangu kaacha ghorofa kigamboni, mambo ya kujenga kwenye kiwanja alichopewa demu siku ya send off, dah noma sana, karudisha mpira kwa kipa
Wala haiko hivyo wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na mwanamke anayejielewa au anamzidi kipato. Wengi wajihisi udhaifu na kutaka kutumia nguvu kujihami. Angalia familia nyingi ambazo wanawake wana kipato kikubwa kuliko wanaume. Mtu ukishanza kujihisi udhaifu hasa sisi wanaume lazima utafanya tukio la kushangaza.Kuna mzee mmoja nae alikata mke vipande kwa dharau baada ya kupewa nyumba na bamkwe siku ya harusi. Ilifika hatua mkewe alikuwa akimwambia yule mzee kuwa ni mke mdogo wa baba yake. Mzee alishindwa vumilia akamtanguliza
Inategemea na unayokumbana nayo kwa mwanamke wako. Wana maudhi sanaWala haiko hivyo wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na mwanamke anayejielewa au anamzidi kipato. Wengi wajihisi udhaifu na kutaka kutumia nguvu kujihami. Angalia familia nyingi ambazo wanawake wana kipato kikubwa kuliko wanaume. Mtu ukishanza kujihisi udhaifu hasa sisi wanaume lazima utafanya tukio la kushangaza.