Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati


Kung'ang'ania mali ipo mkuu,tena nimeona kwa mwanamke 60yrs,kapata kiinua mgongo karudi kwao na hati ya nyumba aliyojenga mumewe,yeye akaenda Jenga nyingine huko kwao
Naijua ipo ila nachojaribu kuwaza ni kuwa shida ni nn kusema hiki changu hiki changu na ninyi ni wanandoa ? Na mna watoto tuangalie hapa watoto wale sjui km wapo sekondar wameshauvaa umaskini tyr
 
Kuna ndugu wenye tamaa sana.

Labda wawe na watoto wakubwa probably znaweza baki kwa watoto ila otherwise hizo ni mali za ndugu mpaka sasa.
inakuaje za ndugu na mume yupo mfano wakiziuza jamaaa akiibuka after 10 alienuna haweza kubit nae kama mali zina jina lake... au sheria inasemaje apo
 
Ili mchepuko wake uje kulala kwenye nyumba niliyoitolea jasho na damu,ambinue kikukundu juu mama watoto kwenye kitanda nilichonunua ndani ya nyumba niliyojenga,huyo shaba kastahiki, watoto isiwe kigezo cha kuumizana roho na msongo wa mawazo
Sasa kaamua yeye, acha amlete...

Nadhani atanipa tu hasira ya kutafuta mali...

Nitaanza moja na nitajenga nyumba nzuri zaidi... na asipokaa vizuri atarudi kuja kuniomba msaada and guess what? Nitamsaidia ili ajione mjinga na kipindi hiko nimeoa mwanamke mzuri zaidi yake...

Siwezi kuua mtu kisa kaamua akapigwe miti kwa starehe zake na anataka nyumba iwe mali yake...
 
Watoto hapo kwa usimamizi wa watu wazima,ndipo familia ya mke inaposhika bango, maana wakipewa wao dhamana ya kusimamia watoto basi ghorofa litakua chini yao, watoto wataishi nao kwenye vibanda vyao, ghorofa watapangisha au hata kukopea
unakopea je umiliki unasoma wa nani?
 
Inaumiza zaidi...
 
kwa inavyoonekana mwanamke alikuwa kwenye plan ya kujimilikisha kila kitu alafu aombe talaka aishi na anaemtaka..
msukumo wa kufanya hayo lazma kuna sababu either alihofia mwanaume anaweza kuuza au kufanya jambo wakabaki hawana kitu au yeye binafsi tamaa zake kujimikisha..

ila wanawake bana apo ingekuwa mwanaume ndo kanunua kiwanja kajenga nyumba ndani yandoa mke kaz yake kuzaa na kupika na bado angedai 50%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…