Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

huu ushuzi ungembata mjambazi IGP ziro pindi akilaani kwenye vyombo vya habari basi yale aliyoongea ya hamza yangekuwa madogo sana ingechukua lisaa lizima.
 
Inaitwaje niitafute
 
Mwenyewe alishatimiza miaka 18, sasa wenzake waliokuwa wakimuonea ndio jao elementary kids au ni wengine?
Kitu gani kimesababisha avamie chekechea?
 
Rakshasudu ndo jina lake nzurii hata youtube

Ukiangalia kwa juu kuna yule jamaa aliyeigiza kama dogo aliyekuwa na ngozi ya kizee akifanyiwa bullying na sweta lake la kijani la shule nzuri Dana hiyo movie



Inaitwaje niitafute
 
Absoloutely shocked and saddened to read this
 
Despite of these atrocities, hakuna sheria yoyote itakayo badilishwa Marekani.
 
Acheni utani maskini wa Marekani ananunua bunduki tena mtoto!.. Sasa huku tunaoombwa vocha tu hatuna sisi ni nani..?🤣

Pole kwa wafiwa na marehemu.
Halafu ana jirani kitu kinachomaanisha yuko kwake ama ana mjengo wake
🤓🤓🤓🤓
 
Au Abdulqadir wangejaa kutoa matusi na kashfa humu na uzi ungekuwa on trending no1
ttzo huwa mna ua huku mnamuhusisha had mtu na mungu wake , ila huyo dogo ni kisasi mbali na imani
 
huu ushuzi ungembata mjambazi IGP ziro pindi akilaani kwenye vyombo vya habari basi yale aliyoongea ya hamza yangekuwa madogo sana ingechukua lisaa lizima.
ila huyo ndo anakufanya ucomment hapa kwa amani
 
Sasa kama alikuwa nauwezo mpaka wa kununua bunduki, kwa nin.. hiyo ela ya asinunue nguo.
.
Bangi c o chai
 
Despite of these atrocities, hakuna sheria yoyote itakayo badilishwa Marekani.
democratic country , nyiny wavaa kobaz mnahis upo mfumo usio na makosa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…