PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mkuu Mimi mwenyewe ni mkristo Ila najua Hali halisi Kwa hayo majinaAu Abdulqadir , wangejaa kutoa matusi na kashfa humu na uzi ungekuwa on trending no1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi mwenyewe ni mkristo Ila najua Hali halisi Kwa hayo majinaAu Abdulqadir , wangejaa kutoa matusi na kashfa humu na uzi ungekuwa on trending no1
Wapumbavu sana hawa ila Mungu anawaonyesha wazi maovu yaoHuyu dogo angekuwa anaitwa abubakar angehusishwa na ugaidi
Inaitwaje niitafuteDogo alisubiri afike miaka 18 awe na ruhusu ya kumiliki chuma alipize kisasi vizuri sana
Niliangalia picha Moja ya kihindi jina nimesahau nzuri sana inamulezea kijana mmoja aliku polisi sasa kuna shule palikuwa panatokea mauaji sana watu wanauliwq then panaachwa kiji mdoli Cha kike kimona
Kisa kilikuwa ivi kulikuwa na dogo alizaliwa na ulemavu wa ngozi yaani ana ngozi ya kizee kama vile grand p na baba Ake yule dogo alikuwa mtu wa miujiza ndo wanajipatia pesa (mazingaombwe) na pia alikuwa na huo ulemavu sema anavaa nguo za mikono mirefu mpaka gloves za mikono yaaani ngozi ya kizee kabisa
Yule dogo alipokuwa alipelekwa shule siku ya kwanza kwenda alipoingia darasani tu ili apewe kiti cha kukaa kila mtu hataki akae nae kutokana na alivyo basi wanamkwepa asikae basi kuna dogo wa kike alimuita akakaa nae wakawa kama wachumb ila akitaka kukaa na watu mda wa break wanamkimbia yule demu ndo anamchukua Wana ongea
Yule dogo akirudi home analia anawaeleza wazazi wake anavyotengwa hana raha
Siku moja alivaa miwani akaenda shule akiwa kama mtu mwenye furaha dah kumbe wamemchora ubaoni wanamdhihaki wanamcheka alipoingia walikuwa kama wanamsukuma akitaka kufuta picha yake pale ubaoni wakawa kama wanashambulia mpaka wakamvua nguo
Akarudi kwao akasema nitalipiza na shule sitorudi Tena .Yule demu alipoona jamaa hajaja shule akaenda kwao mbaya zaidi jamaa akaona hata huyu ananichora ni wale wale akaanza nae anauwa na nyundo then anaacha kimdoli na kibox kama cha zawadi ya happy birthday
Movie kali sana humo ndani kuna katoto ni kiziwi pia
Kama rashshudu nimeitafuta nimeipata YouTube ukiangalia utaona ubaya wa bullyingInaitwaje niitafute
Hii hapa hata YouTube unaipataInaitwaje niitafute
Inaitwaje niitafute
Bullying husababisha roho mbaya.Wenye mioyo dhaifu huishia kujiua wenyewe ila wenye mioyo migumu yenye kutotaka kuonewa ndiyo huishia kufanya matukio kama huyu bwana mdogo.
Mbona wale watu wenu wanalipuana kila sikuWanaruhusu upumbavu ktk nchi na kulea, kukuza magaidi, haya ndio madhara yake, RIP watoto View attachment 2238045View attachment 2238047View attachment 2238049View attachment 2238051View attachment 2238053
Halafu ana jirani kitu kinachomaanisha yuko kwake ama ana mjengo wakeAcheni utani maskini wa Marekani ananunua bunduki tena mtoto!.. Sasa huku tunaoombwa vocha tu hatuna sisi ni nani..?🤣
Pole kwa wafiwa na marehemu.
mvaa kobaz anaua kwa jina la allah , na hiyo ndo tofaut , huyo dogo kisa chake ni kisasiHuyu dogo angekuwa anaitwa abubakar angehusishwa na ugaidi
ttzo huwa mna ua huku mnamuhusisha had mtu na mungu wake , ila huyo dogo ni kisasi mbali na imaniAu Abdulqadir wangejaa kutoa matusi na kashfa humu na uzi ungekuwa on trending no1
ila huyo ndo anakufanya ucomment hapa kwa amanihuu ushuzi ungembata mjambazi IGP ziro pindi akilaani kwenye vyombo vya habari basi yale aliyoongea ya hamza yangekuwa madogo sana ingechukua lisaa lizima.
democratic country , nyiny wavaa kobaz mnahis upo mfumo usio na makosa ?Despite of these atrocities, hakuna sheria yoyote itakayo badilishwa Marekani.