Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

huu ushuzi ungembata mjambazi IGP ziro pindi akilaani kwenye vyombo vya habari basi yale aliyoongea ya hamza yangekuwa madogo sana ingechukua lisaa lizima.
 
Dogo alisubiri afike miaka 18 awe na ruhusu ya kumiliki chuma alipize kisasi vizuri sana

Niliangalia picha Moja ya kihindi jina nimesahau nzuri sana inamulezea kijana mmoja aliku polisi sasa kuna shule palikuwa panatokea mauaji sana watu wanauliwq then panaachwa kiji mdoli Cha kike kimona

Kisa kilikuwa ivi kulikuwa na dogo alizaliwa na ulemavu wa ngozi yaani ana ngozi ya kizee kama vile grand p na baba Ake yule dogo alikuwa mtu wa miujiza ndo wanajipatia pesa (mazingaombwe) na pia alikuwa na huo ulemavu sema anavaa nguo za mikono mirefu mpaka gloves za mikono yaaani ngozi ya kizee kabisa

Yule dogo alipokuwa alipelekwa shule siku ya kwanza kwenda alipoingia darasani tu ili apewe kiti cha kukaa kila mtu hataki akae nae kutokana na alivyo basi wanamkwepa asikae basi kuna dogo wa kike alimuita akakaa nae wakawa kama wachumb ila akitaka kukaa na watu mda wa break wanamkimbia yule demu ndo anamchukua Wana ongea
Yule dogo akirudi home analia anawaeleza wazazi wake anavyotengwa hana raha

Siku moja alivaa miwani akaenda shule akiwa kama mtu mwenye furaha dah kumbe wamemchora ubaoni wanamdhihaki wanamcheka alipoingia walikuwa kama wanamsukuma akitaka kufuta picha yake pale ubaoni wakawa kama wanashambulia mpaka wakamvua nguo

Akarudi kwao akasema nitalipiza na shule sitorudi Tena .Yule demu alipoona jamaa hajaja shule akaenda kwao mbaya zaidi jamaa akaona hata huyu ananichora ni wale wale akaanza nae anauwa na nyundo then anaacha kimdoli na kibox kama cha zawadi ya happy birthday

Movie kali sana humo ndani kuna katoto ni kiziwi pia
Inaitwaje niitafute
 

Attachments

  • Screenshot_20220525-154656.png
    Screenshot_20220525-154656.png
    491.3 KB · Views: 16
Mwenyewe alishatimiza miaka 18, sasa wenzake waliokuwa wakimuonea ndio jao elementary kids au ni wengine?
Kitu gani kimesababisha avamie chekechea?
 
Screenshot_20220525-154715.png
Rakshasudu ndo jina lake nzurii hata youtube

Ukiangalia kwa juu kuna yule jamaa aliyeigiza kama dogo aliyekuwa na ngozi ya kizee akifanyiwa bullying na sweta lake la kijani la shule nzuri Dana hiyo movie



Inaitwaje niitafute
 
Absoloutely shocked and saddened to read this
 
Despite of these atrocities, hakuna sheria yoyote itakayo badilishwa Marekani.
 
Acheni utani maskini wa Marekani ananunua bunduki tena mtoto!.. Sasa huku tunaoombwa vocha tu hatuna sisi ni nani..?🤣

Pole kwa wafiwa na marehemu.
Halafu ana jirani kitu kinachomaanisha yuko kwake ama ana mjengo wake
🤓🤓🤓🤓
 
Au Abdulqadir wangejaa kutoa matusi na kashfa humu na uzi ungekuwa on trending no1
ttzo huwa mna ua huku mnamuhusisha had mtu na mungu wake , ila huyo dogo ni kisasi mbali na imani
 
huu ushuzi ungembata mjambazi IGP ziro pindi akilaani kwenye vyombo vya habari basi yale aliyoongea ya hamza yangekuwa madogo sana ingechukua lisaa lizima.
ila huyo ndo anakufanya ucomment hapa kwa amani
 
Sasa kama alikuwa nauwezo mpaka wa kununua bunduki, kwa nin.. hiyo ela ya asinunue nguo.
.
Bangi c o chai
 
Back
Top Bottom