Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

Huyu dogo angekuwa anaitwa abubakar angehusishwa na ugaidi
Tukio hili na lile la jamaa aliyeua watu supermarket na mengine kama haya, nimegundua kuwa gaidi ni mtu wasiye kubaliana nao (asiyekuwa upande wao).

Unaona dogo anapewa jina lingine ingawa kitendo alichokifanya kina tafsiri ugaidi lkn angekuwa kijana with middle east name......
 
Huyu jamaa ana miaka 18 sio mtoto tena ni mtu mzima na anajua anachokifanya na technically mtu akifika 16 tu sio mtoto mimi nashangaa mnamuita mtoto kama ana miaka 12.

Haya yote sababu ya uonevu sisupport kitendo cha kuua wasio na hati hasa hao watoto lakini kama angemaliza wale waliokuwa wanamuonea wala sio big deal kabisa, bullies hawatakiwi kuwepo duniani na nyie wazazi mnaodekeza watoto wenu watukutu mpaka wanakuja kuwa waonevu kwa wengine fikirieni mara mbili au waonewajwi hasa wakimya wakija kuchoka uonevu na kulipa kisasi ulimwengu unasimama kama huyo jamaa. hata hivyo jamaa ameenda mbali sana at least angewabana mhusika mmoja mmoja na siyo kwenda kumwaga risasi kwa watoto huo ni ukichaa.

Mwingine ni yule mshenzi aliyeua watu 10 nadhani sababu ya rangi, wale watetezi wa wazungu ni wema wako wapi hapa?
 
Takribani watoto 19 na walimu wawili walifariki Jumanne hii katika shule iliyopo mji wa Uvalde,jimbo la Texas,baada ya mvulana miaka 18 kuingia akiwa na silaha na kuanza kufyatua risasi.

Kijana huyo alitambuliwa kama Salvador Ramos,raia wa Marekani na mkazi wa mji huo wenye wakazi 15,000 ulioko takribani kilomita 135 kutoka San Antonio.
 
Back
Top Bottom