wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hii ndio freedom wanayo ililia Wamarekani acha wapate dawa.NRA ni wakulaumiwa. Wagumu kubadilisha Sera zao wengi nasikia ni GOP.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio freedom wanayo ililia Wamarekani acha wapate dawa.NRA ni wakulaumiwa. Wagumu kubadilisha Sera zao wengi nasikia ni GOP.
Too much democracy is dangerousWapumbavu na sheria zao juu ya bunduki. Wao wanaona kama kitu cha maana sana. Demokrasia ya bila akili.
Tukio hili na lile la jamaa aliyeua watu supermarket na mengine kama haya, nimegundua kuwa gaidi ni mtu wasiye kubaliana nao (asiyekuwa upande wao).Huyu dogo angekuwa anaitwa abubakar angehusishwa na ugaidi
Sasa kwanini huzungumzii kisasimvaa kobaz anaua kwa jina la allah , na hiyo ndo tofaut , huyo dogo kisa chake ni kisasi
Picha zote zinachekaWanaruhusu upumbavu ktk nchi na kulea, kukuza magaidi, haya ndio madhara yake, RIP watoto View attachment 2238045View attachment 2238047View attachment 2238049View attachment 2238051View attachment 2238053
Katika maelezo amesema jina ameliasahau wewe bado unauliza jina tena?Jina la.movi