Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.
Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.
Karibu
GDP per capita ya China ni $13,000 wakati ya US ni $83,000.Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Anachouza 🇹🇿Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.
Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.
Karibu
Gap enzi hizo na saivi gap likoje linapungua ama linazidi kuongezekaGDP per capita ya China ni $13,000 wakati ya US ni $83,000.
Na vyote hivyo ni kampuni binafsi sio kama huku kwenu mbakosema Serikali ijenge viwanda sijui iendeshe ndege and such shits harafu utegemee kuendelea Kwa kutumia public servants 😁😆Marekani anazalisha magari, ndege, silaha, gesi, mafuta, teknolojia za dijitali kama WhatsApp, Google n.k
Harafu unakutana na mburula wa Chadomo kama Heche na Lisu wanakwambia wawekezaji wanakuja kuchota Mali na uwekezaji ni kuuza Bandari na Madini 😆😆Pia ufahamu kuwa viwanda vingi vilivyopo China vinavyotoa quality products vinamilikiwa na makampuni ya Marekani na nchi za Ulaya. Hivyo faida inayopatikana kwenye makampuni haya, japo yapo China, bado Marekani ina sehemu kubwa ya faida.
GDP per capita China bado imeachwa mbali sana, kama 70 halafu ukapunguza moja bado uko mbali sana.Gap enzi hizo na saivi gap likoje linapungua ama linazidi kuongezeka
Asubiri Miaka 30-50, Kama ana miaka 30 now arudi hapa kushuhudia akiwa na 60-80.Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo.
Tunakunywa sana vinywaji na vyakula vya kimarekani pia.Service and intertaiment industry iko dominated na USA. From cloud services, software to Netflix and the like. Banking services kama visa na mastercard etc
Mbona umeandika kimuhemuko sana ,muuliza swali kauliza vizuri sana anataka ajue tena kawataja wachumi waje wampe majibu,ila sasa majibu yako yanaonekana jinsi ulivyo mtu wa hovyo ktk jamii ya kitanzaniaIla elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Cheki hili tikiti majiIla elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Gap enzi hizo na saivi gap likoje linapungua ama linazidi kuongezeka