Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Mambo ya Heche hayo mara serikali iwape wananchi ng'ombe
Vijana mmesoma historia shuleni lakini nadhani haikiwasaidia hata kidogo. Na hili ni tatizo letu kubwa sana Tanzania, wengi tuna vyeti, tuna elimu lakini application ya kile tulicho kisoma shule hakijawahi kua na msaada wowote zaidi ya kukariri tu. Nitakuelezea kidogo kwa mifano halafu kama kweli unapenda kukosolewq utajiona ulivo mpuuzi kuandika kitu cha kijinga kama hiki.

1. Wakoloni walivokuja Africa na sehemu zingine kutawala, yale makampuni yalikua sio ya serikali, yalikua ya watu binafsi. Kampuni kama la Anglo America ni la watu binafsi, limeanzisha miaka mingi iliopita, lina deal na madini, serikali ya Uingereza ilileta ukoloni huku kwa ajili ya kuwasaidia wafanyabiashara wao. Viwanda vya nguo, matairi, chai nk vyote hivyo ni mali za watu binafsi, sio serikali lakini serikali ilitumia kodi za nchi kuja kutawala Africa ili makampuni yao yafaidike.
2. Umemsikia Trump analazimisha TikTok ya China iuze hisa zake Marekani, mnunuzi tayari kaandaliwa, sio serikali ni kampuni ya Microsoft, Microsoft ni kampuni ya Bill Gate, mtu binafsi; lakini serikali inaweka shinikizo kubwa kwa nchi nyingine ili wafanyabiashara wake wakuze mitaji. Hili la juzi tu.
3. Rwanda kafanya saba hayo ya kuwapa watu wake ng'ombe, katafuta hadi wataalamu ili wafugaji wafuge kwa tija, wanakamua maziwa wale watu binafsi na sasa wanauza hadi nje ya mipaka ya Rwanda.
4. Marekani na NATO wamekwenda mara kadhaa kupigana na mataifa ya Kiarabu ili wapate mafuta, mafuta yenyewe hayachimbwi na serikali bali kampuni zao kama BP/PUMA, SHELL, Exon mobile nk, hizi ni kampuni za watu binafsi lakini serikali inatumia rasilimali zake ili wafanyabiashara wake wakuze mitaji.
5. China inapeleka watu wake sasa everywhere, Africa ina ongoza. Kule wamewekewa uzazi wa mpango, mtoto 1 tu, but now wameongeza mtoto wa pili BUT huyu wa pili atazaliwa Africa, wapo kwenye huo mpango. Wanapewa mitaji watu kwa maslahi ya nchi.

Tuna kwama wapi vijana wa Tanzania? Tumesoma ili iwe nini? Heche, Lema, Lissu na Chadema yao ni wazalendo, tufungue macho tuwe free in our minds, tusitawaliwe na fikra za kichama, utaona kama tumechelewa.
 
Mbona umeandika kimuhemuko sana ,muuliza swali kauliza vizuri sana anataka ajue tena kawataja wachumi waje wampe majibu,ila sasa majibu yako yanaonekana jinsi ulivyo mtu wa hovyo ktk jamii ya kitanzania
Pamoja na swali zuri lakini bahati mbaya hatuna wachumi Tz wa kujibu. Ninasema hivi kwasababu tangu tupate uhuru hakuna walichofanya
 
Marekani anauza vitu vya gharama kubwa ndio maana anaongoza GDP.

Anauza ndege mfano boing zote duniani USA kaingiza hela. Na ndege za kivita anauzia majeshi

Anauza software kama Oracle ambazo makampuni makubwa mengi duniani yanatumia..

Banks pia amezishika anawauzia huduma ya Credit Cards kama Visa na master card

Pia anauza silaha za kivita kwenye majeshi mengi duniani

Marekani kaishika entertainment industry kwenye mziki na movies kote huko anapiga hela za dunia nzima

Marekani kashika soko la madawa. Arv, dawa za kansa, kisukari na nyinginezo nyingi anaingiza hela

Social media pia.. hizi instagram, facebook, youtube zinachukua hela za dunia nzima
 
GDP ya China miaka 1950s ilikuwa dollar Billion 30 wakati GDP ya marekani 1950s ilikuwa dollar Billion 300.
 
Harafu unakutana na mburula wa Chadomo kama Heche na Lisu wanakwambia wawekezaji wanakuja kuchota Mali na uwekezaji ni kuuza Bandari na Madini 😆😆
Hv huwa unawasikiliza Chadema au unamezeshwa maneno ma ccmu ?

% kubwa ya chawa wa ccmu hawan akili

Uwekezaji lzm uambatane na mikataba inayokulinda na sio usaini mkataba useme

1.Maeneo yote ya kimkakati ukitaka karibisha wawekezaj lzm uwa tizame kwanza wao ( DPW ) wajilidhishe kisha ndo wakupe go ahead either wanachukua tenda au uendelee kupuyanga , maana yake wakichukua tenda utafanya watakavyo na sio utakavyo maan huez mpa mtu mwingine iwapo wao wameona ina maslai ma mkataba uliosaini awali unawalinda pia

2.Huez saini mkatab unaosema Muda wa mkataba ni mpaka pale moja kati ya nchi washirika akithibitishwa hayupo ulimwenguni au mradi ukishindwa kuendeshwa au mradi ukifilisika , Hiki kipengele ni mjinga ( ccmu ) ndo anaweza saini ila mtu timamu haez saini

ACHA KUSIKILIZA CCMU UNATUFERISHA WANANCHI
 
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.

Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.

Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.

Karibu
Shida usipende mipira. Tofautisha kuwa mvumbuzi na mzalishaji mfano?
microsoft ni USA
Apple ni USA
IBM ni USA
Microchip ni USA
All technology ni USA

All thinking IQ ni USA
 
Uchumi wa marekani umeanza kujengwa zamani. Marekani kawa taifa huru 1776 nadhani China ni 1949. Yofauti ya miaka zaidi ya 150 baadae.

Marekani kwa sasa inazidiwa na China vitu vingi.

Subiri miaka 10 ijayo angalia hiyo GDP difference utashangaa.
China haikupata uhuru mwaka 1949 bali ilikuwa ndio mwanzo wa utawala wa Wakomunisti wa CCP, China ni taifa huru kwa miaka yote, haijawahi kutawaliwa au kuwa koloni. China Imekuwa Empire na taifa huru kwa zaidi ya miaka 2,000.
 
Vijana mmesoma historia shuleni lakini nadhani haikiwasaidia hata kidogo. Na hili ni tatizo letu kubwa sana Tanzania, wengi tuna vyeti, tuna elimu lakini application ya kile tulicho kisoma shule hakijawahi kua na msaada wowote zaidi ya kukariri tu. Nitakuelezea kidogo kwa mifano halafu kama kweli unapenda kukosolewq utajiona ulivo mpuuzi kuandika kitu cha kijinga kama hiki.

1. Wakoloni walivokuja Africa na sehemu zingine kutawala, yale makampuni yalikua sio ya serikali, yalikua ya watu binafsi. Kampuni kama la Anglo America ni la watu binafsi, limeanzisha miaka mingi iliopita, lina deal na madini, serikali ya Uingereza ilileta ukoloni huku kwa ajili ya kuwasaidia wafanyabiashara wao. Viwanda vya nguo, matairi, chai nk vyote hivyo ni mali za watu binafsi, sio serikali lakini serikali ilitumia kodi za nchi kuja kutawala Africa ili makampuni yao yafaidike.
2. Umemsikia Trump analazimisha TikTok ya China iuze hisa zake Marekani, mnunuzi tayari kaandaliwa, sio serikali ni kampuni ya Microsoft, Microsoft ni kampuni ya Bill Gate, mtu binafsi; lakini serikali inaweka shinikizo kubwa kwa nchi nyingine ili wafanyabiashara wake wakuze mitaji. Hili la juzi tu.
3. Rwanda kafanya saba hayo ya kuwapa watu wake ng'ombe, katafuta hadi wataalamu ili wafugaji wafuge kwa tija, wanakamua maziwa wale watu binafsi na sasa wanauza hadi nje ya mipaka ya Rwanda.
4. Marekani na NATO wamekwenda mara kadhaa kupigana na mataifa ya Kiarabu ili wapate mafuta, mafuta yenyewe hayachimbwi na serikali bali kampuni zao kama BP/PUMA, SHELL, Exon mobile nk, hizi ni kampuni za watu binafsi lakini serikali inatumia rasilimali zake ili wafanyabiashara wake wakuze mitaji.
5. China inapeleka watu wake sasa everywhere, Africa ina ongoza. Kule wamewekewa uzazi wa mpango, mtoto 1 tu, but now wameongeza mtoto wa pili BUT huyu wa pili atazaliwa Africa, wapo kwenye huo mpango. Wanapewa mitaji watu kwa maslahi ya nchi.

Tuna kwama wapi vijana wa Tanzania? Tumesoma ili iwe nini? Heche, Lema, Lissu na Chadema yao ni wazalendo, tufungue macho tuwe free in our minds, tusitawaliwe na fikra za kichama, utaona kama tumechelewa.
Wakati unaandika ulikua unajiona mtu mweny akili unamuelewesha kijan asie na maarifa na asieyajua unayoandika😅😅😅.
Nikutoe wasiwasi ulioyaandika hamna nisilolijua ila sentience zako za mwishon ndo zenye walakini. Enewei nirudi kweny maada- yaan Heche anasema wananchi wa Iringa wapewe ng'ombe wawili wawili kila mwananchi ili kujikomboa kutoka kweny umaskini. Such a lunatic idea!!
Aya Iringa umewapa ng'ombe wawili wawili Mbeya utawapa mashamba? Geita utawapa bodaboda? Dar utawapa ardhi? na mikoa mengineo..

Sasa serikali ina uwezo gan wa kuwapa watu wote au maskin na wasio ajira hio shaman ya Ng'ombe mbili ambayo ni takriban 2milion Aya zidisha kwa kila mtu utanipa majibu wewe mwenyew.. Sasa hicho ni kitendo cha uchumi wa private people or gvt entities? Hio ina tofauti gan na operesheni vijiji? Na ww unaamin ng'ombe mbili zimtoe mtu umaskini na serikali ipate kodi fresh?? uchumi wa wapi huo? au ndo CDMnomics?

Mwisho, hawa ni wanasiasa wote hivyo hatuezi kusema ndo wazalendo kama unavyowaza!! And bad enough uzalendo bila maarfa is nothing.. Nan alikua mzalendo zaidi ya Nyerere? Je nchi ilikua na maendeleo wakat wake? watu si ndo waliishi had kwa Unga wa njano na sabuni za miti
 
China haikupata uhuru mwaka 1949 bali ilikuwa ndio mwanzo wa utawala wa Wakomunisti wa CCP, China ni taifa huru kwa miaka yote, haijawahi kutawaliwa au kuwa koloni. China Imekuwa Empire na taifa huru kwa zaidi ya miaka 2,000.
na Japan alikua nan kwa mchina?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wakati unaandika ulikua unajiona mtu mweny akili unamuelewesha kijan asie na maarifa na asieyajua unayoandika😅😅😅.
Nikutoe wasiwasi ulioyaandika hamna nisilolijua ila sentience zako za mwishon ndo zenye walakini. Enewei nirudi kweny maada- yaan Heche anasema wananchi wa Iringa wapewe ng'ombe wawili wawili kila mwananchi ili kujikomboa kutoka kweny umaskini. Such a lunatic idea!!
Aya Iringa umewapa ng'ombe wawili wawili Mbeya utawapa mashamba? Geita utawapa bodaboda? Dar utawapa ardhi? na mikoa mengineo..

Sasa serikali ina uwezo gan wa kuwapa watu wote au maskin na wasio ajira hio shaman ya Ng'ombe mbili ambayo ni takriban 2milion Aya zidisha kwa kila mtu utanipa majibu wewe mwenyew.. Sasa hicho ni kitendo cha uchumi wa private people or gvt entities? Hio ina tofauti gan na operesheni vijiji? Na ww unaamin ng'ombe mbili zimtoe mtu umaskini na serikali ipate kodi fresh?? uchumi wa wapi huo? au ndo CDMnomics?

Mwisho, hawa ni wanasiasa wote hivyo hatuezi kusema ndo wazalendo kama unavyowaza!! And bad enough uzalendo bila maarfa is nothing.. Nan alikua mzalendo zaidi ya Nyerere? Je nchi ilikua na maendeleo wakat wake? watu si ndo waliishi had kwa Unga wa njano na sabuni za miti
Kama unaelewa hivo basi ndio yale yale alioyasema Pieter Botha kwamba, black people hatuna ubongo. Tunaweza kufauru mitihani shuleni kama wengine, tunaweza kua hadi ma profesa kama wengine lakini akili zetu zitabakia kwenye level ya kua chini ya uongozi wa watu wengine. Hatuwezi kujiendesha. Imagine hata jambo la ku copy kutoka kwa wengine nalo tunabishana, ukichunguza kwa makini utagundua ni milengo ya kivyama tu. Hilo hilo pendekezo la Heche, lingetolea na Hussein Bashe baadhi wangepiga makofi. Upuuzi tu
 
SIo kwamba zogo kubwa hua linaanza kwenye mikataba ya hovyo?
Hatari kweli kweli. Kama Mungu kweli anaipenda Tanzania, bora aiue ccm kwa kweli. Chama kimethohofisha sana namna zetu za kufikiri yaani 😢 😭 😢
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.

Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.

Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.

Karibu
Wale ndio wanaongoza kuuza silaha kwa njia haramu ulimwenguni kote. Wale ndio waharibifu wakubwa wa amani ya dunia
 
Back
Top Bottom