Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Hapo USA ananufaikaje zaidi?, naomba maelezo kidogo ili na mimi niondoe tongotongo
Sio elimu kubwa ya kiuchumi ya kufafanua jambo hilo kws muktadha huo mkuu.

Mimi nimejaribu kufafanua ile kauli ya jamaa ya
Biashara kubwa ya marekani ni USD,
.
Lakininuwezo wa kufafanua kiuchumi usa anavonufaika na matumizi ya dollar najua kwa uchache tu kwamba nchi nyingi kadri tunavoitumia dollar ya us kwenye biashara tunaiimarisha.

Ndo maana hata trump anakua mkali sana kwa wale jamaa wa bricks juu ya mpango wao wa kuachana na dollar.

Ukipata maelezo mazuri nitag namimi mkuu wote tuelimike
 
walikua stage gan?
Mkuu natupa taulo, kitu pekee nachofahamu sio maeneo yote yote yalikua under control ndo maana kwa china kutumia direct neno colonialization inakua ngumu tofauti na korea kwa mfano
 
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.

Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.

Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.

Karibu
Nafikiri ungeuliza kwanza ujuzwe maana ya GDP kwa sababu watu wanajadili vitu tofauti kabisa na GDP
Nakusahauri uanze kutafuta maana za gdp vs gnp vs gni vs ppp per capital
baada ya hapo ndio unaweza kuchangia vizuri bila kuchanganya mada
 
Mkuu natupa taulo, kitu pekee nachofahamu sio maeneo yote yote yalikua under control ndo maana kwa china kutumia direct neno colonialization inakua ngumu tofauti na korea kwa mfano
linatumika neno gan sasa badala yake?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Shida usipende mipira. Tofautisha kuwa mvumbuzi na mzalishaji mfano?
microsoft ni USA
Apple ni USA
IBM ni USA
Microchip ni USA
All technology ni USA

All thinking IQ ni USA
Hii ilikuwa miaka ya 2005 na sio sasa
 
Fafanua kidogo

Explanation.

The U.S. dollar (USD) is the dominant currency for international transactions, forcing the world to rely on it even when the trade doesn't involve the USA. An example of Tanzania and Kenya trades, we mostly transact the same value of goods/services so why not use our own currencies?

Simply, Every time we transact in USD, the U.S. benefits. As global demand for dollars grows, the U.S. can print more money, increasing its wealth and influence while the world bear the costs of exchange rates and dependency. Meanwhile, the world economies remain tied to a system designed to favor the U.S.

So once the world decided to use bilateral currencies then the USD and USA lost the influence and benefits of printing more dollars. The more we depend on our own currencies, the less power the U.S. dollar and the U.S. itself has over us.
 
Hii ilikuwa miaka ya 2005 na sio sasa
Kama sio sasa mbona wachina wanajazana kwake kuiba gunduzi nyinyi na wengine wanaona kuzaa huko unajua Trump kusema ilo swala kuzaliana na hawa watu acha stori za kahawa
IMG_1197.jpeg
 
Back
Top Bottom