Marekani akichapisha pesa, anaweza kuitumia popote pale duniani, haitaji kuibadilisha. Nchi kama Tanzania, ikisema ijichapishie tu minoti hovyo hovyo kama Marekani anavyofanya, inabidi atafute dollar za kubadilisha kabla hajaagiza kitu China, sasa utakuta trekta moja aunaagiza kwa bilioni 2 sababu shilingi itashuka thamani wakati wa exchange.
Hii inampa USA mikopo isiyo na kikomo, anakopa na kufanya uzalishaji, hivyoGDP inakuwa. Kiufupi Debt celing anajiwekea mwenyewe, anachapishankadri atakavyo.., siku ya siku tukimdai anaweza hata akaamua kujifutia madeni sababu ni nuclear superpower, na hatuna la kumfanya
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese...
www.jamiiforums.com