Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Bro sorry. Umetoka Facebook nini?
 
China haikupata uhuru mwaka 1949 bali ilikuwa ndio mwanzo wa utawala wa Wakomunisti wa CCP, China ni taifa huru kwa miaka yote, haijawahi kutawaliwa au kuwa koloni. China Imekuwa Empire na taifa huru kwa zaidi ya miaka 2,000.
Japan aliwatawala China kaka, fatilia historia yao vizuri. Japan ndio alikua king wa Asia those years, sasa hvi anapigishwa magoti na China. Interesting
 
Japan aliwatawala China kaka, fatilia historia yao vizuri. Japan ndio alikua king wa Asia those years, sasa hvi anapigishwa magoti na China. Interesting
Japan haijawahi kuitawala China yote, katika kilele chake cha uvamizi wake kwa China walikuwa wanakalia 25% tu ya China kupitia tawala za vibaraka wa kichina na hiyo haikuzidi hata miaka 10 huku wakipigana vita vya muendelezo na Wachina waliokuwa katika vita vya guerrilla
 
Xi Jinping tunaomba majibu.

Mto wa mbu
 
Japan haijawahi kuitawala China yote, katika kilele chake cha uvamizi wake kwa China walikuwa wanakalia 25% tu ya China kupitia tawala za vibaraka wa kichina na hiyo haikuzidi hata miaka 10 huku wakipigana vita vya muendelezo na Wachina waliokuwa katika vita vya guerrilla
Tena walikaa jimbo moja tu la Manchuria
 
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.

Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.

Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.

Karibu
Global financial currency.
 
China anapambana sana na anakuja vyema sana kiuchumi na ndio maana rais taahira kuwahi kutokea marekani Trump anaweweseka na tarrifs zake zisizo na staha kwa China
Na wewe usingekuwa taahira ungefahamu kwamba hizo ushuru anazowekewa China laiti kama Tanzania tusingekuwa na watawala mataahira hiyo ingekuwa ni fursa kubwa kwetu kupiga pesa za kufa mtu kwa kufanya Bilateral Trade na Marekani.
 
Marekani inapata kipato kikubwa sana kutokana na Service Sector yake ambayo inaingiza takriban asilimia 80 ya GDP yake kwa mwaka Service Sector ya China ni ndogo sana kwani wachina wengi vipato vyao ni viduchu.
 
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.

Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.

Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.

Karibu
Kweli ni gap kubwa,lakini wachumi wanadai hali ikiendelea hivi baada ya miaka kumi au ishirini US na China watakuwa level!
 
Hapa zinazungumziwa Marekani na China.
Sawa mimi siamini Gross domestic product anayo sema USA lazima azidishe uwongo.

Lazima ajidai vile ili aonekane yeye ni wa kwanza kwa kila kitu.
 
Pia ufahamu kuwa viwanda vingi vilivyopo China vinavyotoa quality products vinamilikiwa na makampuni ya Marekani na nchi za Ulaya. Hivyo faida inayopatikana kwenye makampuni haya, japo yapo China, bado Marekani ina sehemu kubwa ya faida.
Wachina hawasemi ukweli kuhusu uchumi wao, pia wanopanga GDP ya nchi ninani? Zinduka
 
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Umejibu hoja kwa hisia na mihemko badala ya kuweka facts.
 
Jibu swali acha mipasho hatuko kitchen party hapa
Sana sana anauza silaha na kulazimisha kuchukua madini ya nchi zingine
Na wewe usingekuwa taahira ungefahamu kwamba hizo ushuru anazowekewa China laiti kama Tanzania tusingekuwa na watawala mataahira hiyo ingekuwa ni fursa kubwa kwetu kupiga pesa za kufa mtu kwa kufanya Bilateral Trade na Marekani.
Taahira mwingine huyoo,hujachelewa lakini cha muhimu wakufunge kamba mapema tu
 
China anauza Midoli na low value products to Mass hasa kwenye low economies country kama Tanzania.

Tanzania ni Watanzania ni maskini sana ukilinganisha na Hali za maisha ya mataifa ya nchi za Kwanza.

Vijana wa Kitanzania ukiwakuta wanajadili waanzishe Biashara gani, utawakuta wanajadili kufungua duka la mitumba, biashara ya simu used na makasha, kuuza juice ya miwa e.t.c
Wale wenye mali biashara zao ni kufungua sheli za mafuta, na Biashara zingine za ulanguzi.

Wamarekani Biashara wanaonzisha ni zile high value industry, kama Kampuni za kuunda dawa za Binadamu, kama kutibu cancer, namna kurusha rocket Mars, e.t.c, simply uchumi wa Marekani ni innovation driven
 
Back
Top Bottom