steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,663
- 13,983
Eti eeeeeeeh,we kweli taahiraHapana, inajulikana wewe ni jihadist, the Madrassat Graduate.
Ujihadi utanisaidia nini?
Eti eeeeeeeh,we kweli taahiraHapana, inajulikana wewe ni jihadist, the Madrassat Graduate.
We hujui hata nini mana ya Jihad unajiongelea for you infomationWewe si jihadist..!! Fikra zako haziwezi kuwa tofauti na hizo because your mind has been heavily arabized to believe that everything American is a taboo.
Hapa umetuongopea.Pia ufahamu kuwa viwanda vingi vilivyopo China vinavyotoa quality products vinamilikiwa na makampuni ya Marekani na nchi za Ulaya. Hivyo faida inayopatikana kwenye makampuni haya, japo yapo China, bado Marekani ina sehemu kubwa ya faida.
Hapa unatupiga.Shida usipende mipira. Tofautisha kuwa mvumbuzi na mzalishaji mfano?
microsoft ni USA
Apple ni USA
IBM ni USA
Microchip ni USA
All technology ni USA
All thinking IQ ni USA
We utakuwa unafatilia historia yanga mwaka 68 ilimfunga simba.Hapa unatupiga.
Eti All thinking IQ ni USA.
Ndio shida ya vijana kama ninyi mnameza pasi na kutafiti.We utakuwa unafatilia historia yanga mwaka 68 ilimfunga simba.
Rudi darasani au uliza ChatGPT
Wape hii hapaNdio shida ya vijana kama ninyi mnameza pasi na kutafiti.
Unaposema all thinking IQ is USA inamaana innovation zote kufanya USA na invention zote anafanya USA.
Embu kasome ndio urudi hapa.
Ndio maana nikamwambia akasome kwanza hana analojua.
Wamarekani wengi wana akili sana na wanafanya kazi sana.Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Ili wawe sawa ilibidi China awe na1.5 Publications.
Huna hoja mzee. China kaanzisha 5G na sasa yupo na 6G. China wapo na maglev train. Tuoneshe kuhusu USA new generation technologyIli wawe sawa ilibidi China awe na1.5 Publications.
Pili, unaweza kupublish ugunduzi wa nyani kutegua mabomu au asali kuongeza nguvu za kiume.
Halafu???
One word .... Space.Huna hoja mzee. China kaanzisha 5G na sasa yupo na 6G. China wapo na maglev train. Tuoneshe kuhusu USA new generation technology
Huna hoja mzee. China kaanzisha 5G na sasa yupo na 6G. China wapo na maglev train. Tuoneshe kuhusu USA new generation technology
Mzee dunia imebadilika sana. Wewe unaongelea issues za semiconductors na Technology ya ndege.Marekani kwenye teknolojia bado yupo juu startup zake zipo nyingi ambazo zinaoffer services nyingi sana world wide na zinamuingizia ela nyingi sana hizo maglev China anauza wapi? Japo siku za mbeleni zitamlipa tu sio hizo trains tu mpaka kwenye ship buildings na auto industry China anafanya vizuri lakini itachukua mda maana marekani alisha jiestablish kitambo Mfano kwenye sector ya silaha peke yake marekani Hana mshindani na anaingiza ela nyingi sana huko annually
Nimekuwekea publications, nimekiwekea technology ambayo wapo nayo wachina.One word .... Space.
Na simaanishi nafasi.
Unazungumzia dunia wakati watu wanazuia comets size ya Morogoro isije kugonga dunia ikawa mwisho wa binadamu.
Those are just words .,.... They don't mean anything.Nimekuwekea publications, nimekiwekea technology ambayo wapo nayo wachina.
Kuna kitu kinaitwa Five-hundred-metre Aperture Spherical Telescope (FAST). Hii largest telescope in the world.
BYD keshampiga dochi Tesla. Sasa mzee bado unabisha tu?
Deepseek imakuja kwa kasi kumkojolea GPT