Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Marekani anazalisha magari, ndege, silaha, gesi, mafuta, teknolojia za dijitali kama WhatsApp, Google n.k
90% anauza silaha na ndio maana sehemu zote zenye vita vifaa vyake vipo,na wkt mwingine anatumia CIA kupandikiza chuki ilimpigame wauze silaha na kuiba malighafi,bukinafaso,Nigeria,Syria,Gaza,Ukraine,Afghanistan,Iraq,Africa yote nchi yenye Vita,
 
90% anauza silaha na ndio maana sehemu zote zenye vita vifaa vyake vipo,na wkt mwingine anatumia CIA kupandikiza chuki ilimpigame wauze silaha na kuiba malighafi,bukinafaso,Nigeria,Syria,Gaza,Ukraine,Afghanistan,Iraq,Africa yote nchi yenye Vita,
Urusi na China ndio silaha zao zipo Sehemu zenye vita. Silaha gani ya US ipo kwenye hizo nchi zaidi ya Ukraine.
 
Those are just words .,.... They don't mean anything.
Just like your dirty words, no wonder you think Chinese technology is ahead of US.
China is just a toy maker for US.
Afadhali ingeongeza Israel or Russia. Nyie mtajenga tu madaraja ya kumeza na maghorofa but space technology hamna ya maana.
Hamna hata Carrier ya maana baharini, wenzenu wanazo kila bahari.
Eti Deepseek
Umia sana ndugu yangu 😀 😀 😀 hii hapa space station ya china

Tiangong space station

1747166880214.jpeg
 
Kabla mambo yote Tujue ni nani ana control soko la hisa dunian
 
Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
Mkuu weka facts ili wengine tupate elimu sio ushabiki
 
China anapambana sana na anakuja vyema sana kiuchumi na ndio maana rais taahira kuwahi kutokea marekani Trump anaweweseka na tarrifs zake zisizo na staha kwa China
Hii comment bado haijajibu alichouliza muanzisha uzi.
 
Harafu unakutana na mburula wa Chadomo kama Heche na Lisu wanakwambia wawekezaji wanakuja kuchota Mali na uwekezaji ni kuuza Bandari na Madini 😆😆
Wawekezaji wenu uchwara hao. Mnawatetea kwa sababu mnakula asilimia 10, wezi wakubwa ninyi.
 
Mzee dunia imebadilika sana. Wewe unaongelea issues za semiconductors na Technology ya ndege.

Nenda kasome online uone kuwa Huawi sasa hivi ndiye mshindani a Nvidia kwenye ML processor.
Acha uongo pumbavu mkubwa wewe hili jambo alilielezea Chief Mkwawa kwa ufasaha zaidi..
 
Urusi na China ndio silaha zao zipo Sehemu zenye vita. Silaha gani ya US ipo kwenye hizo nchi zaidi ya Ukraine.
Israel,Boko haram,wale waliopo Syria wamewekwa na US/Nato,waliopo Libya kuna pande 2,waliopo upande wa US(wanajiita upande wa UN) wale silaha zimetoka magharibi,kwa kifupi CIA wanapiga Kazi mno ya kupandikiza watu wao nazani kuliko agency yyt duniani
 
Pesa yake ndo imedominate
Maana ukitaka upate thaman ya pesa yoyote should convert into US dollar 💵 ,as well kufanya international businesses
 
Back
Top Bottom