Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,288
- 9,062
Boko haram haijawekwa na US. Na Libya kaishikilia Mrusi. Vifaa vingi vilivyouwa watu third world countries ni vya wachina na Warusi au eastern Europe kama Poland, Romania, Serbia etc.Israel,Boko haram,wale waliopo Syria wamewekwa na US/Nato,waliopo Libya kuna pande 2,waliopo upande wa US(wanajiita upande wa UN) wale silaha zimetoka magharibi,kwa kifupi CIA wanapiga Kazi mno ya kupandikiza watu wao nazani kuliko agency yyt duniani
Pia nchi kama Uturuki, Korea kaskazini.
Marekani labda amuuzie Saud ndiyo akavitumie Yemen.