Ni kwamba nchi ya Marekani inaongoza kwa kuunda vifaa vya teknolojia ya juu bila kusahau kuongeza thamani bidhaa mbali mbali na kuviuza nje. Marekani ndiyo nchi inayoongoza kuwa na haki miliki ya teknolojia na uzumbuzi nyingi yaani Patents huo nao ni utajiri mkubwa.
Huku nchi ya China nayo ikijitahidi kuongeza mauzo ya bidhaa ilizoonfeza thamani lakini siyo vya teknolojia ya juu
Hii inadhihirishwa na bidhaa nyingi sisizo na ubora kutoka China, ukosefu wa ajira nchini China umefika asilimia 17% miongoni mwa vijana, soko la ndani kuwa saturated (kufikia kikomo), vijana wengi kuondoka China kwenda nchi za kiAfrika kama Nigeria, Tanzania n.k kutafuta fursa za kuuza bidhaa hizo hafifu
VIDEO : MAHANGAIKO YA VIJANA WA CHINA KUTAFUTA FURSA AFRIKA
View attachment 3311067
Chasing the Chinese Dream in Africa - Documentary 360
View: https://m.youtube.com/watch?v=34woI_H3nTc
Source : NHK World News
Takwimu ya mwaka 2024 Zaidi ya wahitimu 12,000,000 wa vyuo vikuu nchini China humaliza masomo lakini uchumi wa China umekosa pumzi ya kuendelea hivyo nafasi za kazi hakuna
Unauhakika au unatuandikia hutuba hapa hapa . Usa anachingia kiasi gan kwenye uchumi wa dunia