mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Umechanganya!! Umoja wa mataifa hauhusiki katika kuiwekea vikwazo Urusi pia hautahuisika kuiwekea vikwazo marekani. Kwa hiyo michango yake UN ataendelea kupeleka! Dola za kazi gani, si makaratasi tu hayo? Akiwekewa vikwazo tunaachana na dola tunakubaliana kutumia kila nchi pesa yake! Wakimbizi wataendelea kuhudumiwa na UN maana yenyewe haitahusika.Umuwekee vikwazo USA Basi husitumie, Pepsi, Coca-Cola, Colgate,Google, Facebook, watsapp, Tweeter,
Husitumie Dollars, Master card, visacard, paypall, husitumie Boeing, ARV, chanjo za magonjwa. Ulipie 1/3 za mchango kwa UN. Ulipie 2/3 ya bajeti ya WHO
Hudumia kambi za wakimbizi, asa Africa, fafhiri UNHCR, UNO, WFP.
Baada ya hapo muwekee US vikwazo [emoji2][emoji2]
Lakini NATO wenyewe hawana hamu na Urusi!! Ameweza kupigana na muungano wa nchi zaidi ya 30!! huku akiwa amefungwa kamba ya vikwazo, na bado anapiga usiombe!! Usanii wote wa Zelensky kwishney!! sasa hivi kila akiongea ni kulia lia tu!Mrusi kapigwa package ya sanctions mpaka Zimbabwe wanatabasamu
Hawezi kutoboa wale Afghastani kakaa miaka 20 hakuna cha maanaHivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi. Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je marekani angestahimili kwa muda gani? Ujue kupigana ukiwa umewekewa vikwazo ni kama kupigana ukiwa umefungwa pingu!!
Anatoboa, USA sio mchezoHivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi. Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je marekani angestahimili kwa muda gani? Ujue kupigana ukiwa umewekewa vikwazo ni kama kupigana ukiwa umefungwa pingu!!
Hivyo vyote ulivyotaja haviwezi kwenda bila uwepo wa Dunia ,marekani anahitaji dunia tofauti unavyofikiri Dunia haiwezi kwenda bila US au unahisi hayo makampuni hayana mbadala .Umuwekee vikwazo USA Basi husitumie, Pepsi, Coca-Cola, Colgate,Google, Facebook, watsapp, Tweeter,
Husitumie Dollars, Master card, visacard, paypall, husitumie Boeing, ARV, chanjo za magonjwa. Ulipie 1/3 za mchango kwa UN. Ulipie 2/3 ya bajeti ya WHO
Hudumia kambi za wakimbizi, asa Africa, fafhiri UNHCR, UNO, WFP.
Baada ya hapo muwekee US vikwazo [emoji2][emoji2]
Tofautisha vita inayopiganwa Ukraine na vita ya kumeza bomu unavizia kwenda kujilipua. Kilichokuwa kinatokea Afghanistan siyo vita Kama inayoendelea Ukraine.Hawezi kutoboa wale Afghastani kakaa miaka 20 hakuna cha maana
Nani wa kuipiga ban ?Jamaa kauliza swali badala ya kujibiwa, ndo kwanza nae anaulizwa eti tukikosa dola, tukikosa soda, tukikosa middle, tukikosa........... jibuni swali " marekani akipigwa ban za kutosha kama urusi anaweza kushinda vita?
Dah!... You are too 'emotional' mpaka unashindwa kuona uhalisia....Marceneries wangetoka Dunia nzima kuja kuipiga USA ,nchi nyingi sana zingeosaidia Iran kuipiga USA, USA ni dhaifu sana ,
Inachukiwa sana, nakuhakikishia Kuna nchi za NATO zingetoa misaada kwa Siri ili kuiadhibu USA.
Kwani USA ilikuwa vitani na Somalia ?USA ilishindwa somalia.
Akili yako ndo imeishia hapo?Umechanganya!! Umoja wa mataifa hauhusiki katika kuiwekea vikwazo Urusi pia hautahuisika kuiwekea vikwazo marekani. Kwa hiyo michango yake UN ataendelea kupeleka! Dola za kazi gani, si makaratasi tu hayo? Akiwekewa vikwazo tunaachana na dola tunakubaliana kutumia kila nchi pesa yake! Wakimbizi wataendelea kuhudumiwa na UN maana yenyewe haitahusika.
Ukweli ni kwamba Marekani atapigwa ka mtoto mdogo!!
Yaani Trump alijitoa WHO, shirika liliyumba maana 2/3 ya hela anatoa US, hao china na Russia wanachangia vihela vya nyanya kwenye UN agenciesUmechanganya!! Umoja wa mataifa hauhusiki katika kuiwekea vikwazo Urusi pia hautahuisika kuiwekea vikwazo marekani. Kwa hiyo michango yake UN ataendelea kupeleka! Dola za kazi gani, si makaratasi tu hayo? Akiwekewa vikwazo tunaachana na dola tunakubaliana kutumia kila nchi pesa yake! Wakimbizi wataendelea kuhudumiwa na UN maana yenyewe haitahusika.
Ukweli ni kwamba Marekani atapigwa ka mtoto mdogo!!