Marekani angeivamia Iran halafu asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo, halafu Urusi, China, nk ziipatie Iran silaha je, angetoboa?

Lakini NATO wenyewe hawana hamu na Urusi!! Ameweza kupigana na muungano wa nchi zaidi ya 30!! huku akiwa amefungwa kamba ya vikwazo, na bado anapiga usiombe!! Usanii wote wa Zelensky kwishney!! sasa hivi kila akiongea ni kulia lia tu!
Eee kumbe nchi za nato zinapigana na Russia oky
 
Jamaa kauliza swali badala ya kujibiwa, ndo kwanza nae anaulizwa eti tukikosa dola, tukikosa soda, tukikosa middle, tukikosa........... jibuni swali " marekani akipigwa ban za kutosha kama urusi anaweza kushinda vita?
Yupi amuwekee ban US?
 
Lakin bado walirudi Tena Somalia, had Trump alipojiondo, Biden ameyapereka tena
 
Umemaliza kila kitu.
 
We jamaa ukishashiba unakuja kujaza seva za watu huku...Huna shughuli za kufanya?
 
Yaani Trump alijitoa WHO, shirika liliyumba maana 2/3 ya hela anatoa US, hao china na Russia wanachangia vihela vya nyanya kwenye UN agencies
Hlf anatibiwa kwa hisani ya watu wa marekani ila yupo humu kubwabwaja mineno , sisi ngoz nyeus ni watu wa kupoteza na kujutia
 
Israel ambayo huwa inapata misaada ya silaha na bajeti kutoka Marekani inachukiwa na Waarabu. Tangu wameanza kuungana kuipiga walifika wapi?
Waarabu waishindwe Israel waliyokaa nayo jirani waje kuweza Marekani iliyo maelfu ya kilomita kutoka walipo, tena Marekani hii inayosaidia adui yao
 
M
Mbona alimtandika Saddam pamoja na Russia kuwapiga tafu
 
Hemu tulia kidogo! Marekani uwawekee vikwazo gani labda?
 
Kudadeki 😲
 
Umeshaambiwa ikitokea ikawa hivyo.. Duuh mbona mnakuwa vilaza hivi
 
Daah! Simple as such? Kama unaishi kwa matumaini wew au ndugu zako( unatumia mbolea au jina jingine ARV) jua huyo ni Mmarekani na sio Urusi wala Iran wala China. Popote ulipo ukiona land cruiser ina plat number ya DFP na ubazuni imeandikwa USAID jua kuwa inafanya kazi kwenye mradi uliofadhiliwa na Marekani. Secondly,itafute nchi inayoweza kuiwekea vikwazo Marekani,Kama ambavyo kawekewa Urusi.
 
Lakini NATO wenyewe hawana hamu na Urusi!! Ameweza kupigana na muungano wa nchi zaidi ya 30!! huku akiwa amefungwa kamba ya vikwazo, na bado anapiga usiombe!! Usanii wote wa Zelensky kwishney!! sasa hivi kila akiongea ni kulia lia tu!
Daah! Kwa hiyo Urusi kapigana na NATO?😲😲😲
 
Kwamba dunia haiwezi kwenda bila Mmarekani?
 
Nani Sasa atampga hizo ban? Hatuwezi kujadili agenda isiyo tekelezeka.
Jamaa kauliza swali badala ya kujibiwa, ndo kwanza nae anaulizwa eti tukikosa dola, tukikosa soda, tukikosa middle, tukikosa........... jibuni swali " marekani akipigwa ban za kutosha kama urusi anaweza kushinda vita
 
Yaani Trump alijitoa WHO, shirika liliyumba maana 2/3 ya hela anatoa US, hao china na Russia wanachangia vihela vya nyanya kwenye UN agencies
Mimi nawashangaa sana watu humu ujue! Jamii forum ni kokolo tunatofautiana sana uelewa. HAIPO NCHI DUNIANI YA KUIWEKEA MAREKANI VIKWAZO. Teh teh teh kwamba " kwamba tunawawekea vikwazo hatutumii ndege zenu za Boeing"
 
Huna akili ndio maana huwezi elewa. Jibu langu lote limejibu hiyo 'ikitokea' ila ng'ombe kama wewe hata kusoma hujui.

Umejiita Stephen Curry aliyepatia umaarufu Marekani, hujajiita Vladimir wala Jiang
Wewe mwerevu sana, unafikiri huyo Marekani anaweza kuishi bila ya dunia?

Uzi unasema wazi ikitokea Marekani akapigwa vikwanzo ina maana wakubwa wa dunia walikaa chini wakajiuliza hayo yote uliyoyaandika na solutions zake ndio maana wakafikia hilo hitimisho. Sasa wewe mwerevu sana ina maana wewe una akili sana ya kujua vyote hivo kuliko hao superpower ambao wataamua kuweka hivyo vikwazo? Na hivyo vyote ulivyoeleza hapo kwani hakuna mbadala wake? Au ni Marekani pekee ndiye ana watu special wa kutengeneza hizo patents na wengine hawataweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…