Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Anaonekana mla nyama za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaonekana mla nyama za watu
Anafanana na shetani ati?
kwa marekan kugonga hodi mlango usio wako ni hatar sana , ukizingatia watu weusi tuna skendo mbovu sana kule ,all in all ilibidi amuombe kumjuwa kwanza kabla ya kufyatua tu risad
unaeza ona upumbav ila ni hatar kwa marekan hata kukaa kibarazan kwa mtu bila taarifa , watu weusi wanajichafulia wenyew kwann wasipigwe wachina au waarabu?Na hio ndio USA baba wa demokrasia duniani yenye kujali haki za binadamu na upumbavu wa dizaini hio.
uarabuni hata media zao hazitak kutangaza unyanyasi wowote dhid ya mtu mweusi , na hadi kwenye media zao wanazuia sana watu weusi kupata airtime , mpk leo waarabu wanaamin kuwa weusi ni watumwaSisi watu weusi usema kuwa wasungu wanatupenda sana hawa tubagui kama walivio waarabu[emoji2957][emoji2957]
Upo wapi?Uzi uunganishwe huu...Taarifa ilishapita hii!
Upo wapi?
Nilijua tu atakuwa kijana mwenye asili ya kiafrika na kweli...! Huyu babu aadhibiwe vikali!Kutoka nchini Marekani, Mzee mwenye umri wa miaka 84, Andrew Lester anatuhumiwa kumpiga risasi kijana wa miaka 16 aliyekosea anuani ya nyumba aliyokuwa anaenda na kuenda kupiga hodi nyumbani kwake.
Ralph Yarl siku ya Alhamisi alitumwa na wazazi kwenda kuwachukua ndugu zake kwa kupewa anuani ya nyumba, Ralph alikosea nyumba na kufika nyumbani kwa Andrew Lester ambaye baada ya kupiga kengele mlangoni kwake alifungua dirisha na kumpiga risasi iliyomsababishia majeraha.
Andrew Lester ameshakamatwa na polisi kwa makosa mawili ya kushambulia kwa makusudi na uhalifu wa kutumia silaha, na dhamana yake ni Tsh milioni 469. Ralph baada ya kupigwa risasi alipatiwa msaada na wasamaria wema na mpaka sasa yupo hospitali anaendelea kutibiwa.View attachment 2592138
Mimi ndiyo nikiona mtu ngozi nyeusi anawanyenyekea hao ngozi za kugeuzwa wazungu sijui waarabu huwa namuona punguani.Nilijua tu atakuwa kijana mwenye asili ya kiafrika na kweli...! Huyu babu aadhibiwe vikali!
Ubaguzi wa rangi uliopitiliza MWEUSI anachukuliwa kuwa ni kibakaNilijua tu atakuwa kijana mwenye asili ya kiafrika na kweli...! Huyu babu aadhibiwe vikali!