Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

duh sasa ulitaka wakwambie wanachokifanya nje ya hayo mnayoyajua nyie?

hizo drone kazi yake ni nini ?

kwaiyo us na uk wanawapenda saana wakenya

hiyo kambi china anaitazamaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna drone base yoyote hapo, drone base ya Marekani iko Dgibouti na ukitaka unaweza kuona hio drone base hata Kwa satellite imagery.... na kama nilivyokwambia kambi Yao iko ndani ya Kambi ya KDF ambao nishawahi kuongea na wanajeshi ambao walikaa huko Manda na hata Ku train na hao wamarekani...


Tena isitoshe, Marekani iko na Kambi Yao kule Mogadishu ambayo inajulikana ni active operational base ambako wana launch missions ndani ya Somalia, kwahivyo hakuna faida yoyote ya kuficha kinachofanyika ndani ya Kambi ya Kenya....

Jambo lengine, alshabaab hutumia boni forest kuingia Kenya tangu 2015, boni forest inapakana na Manda bay na Marekani haijawahi kujihusisha na operation yoyote...
Mchina naye anajenga bandari ya Lamu hapo karibu na Manda, labda uniambie Marekani anataka kuchunguza Hilo bandari lakini ukiniambia eti mission za Marekani huanzia hapo utakua unadanganya..

Ukitaka naweza kukuonyesha hata picha za special forces wa Rwanda na Uganda wakifanya training hapo Manda bay.
 
sasa kama magaidi wanaingia kenya na us hawawazuii hawana faida hapo

lete hyo pic ya rdf tuone na udf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina anajenga kama contractor u pay him from the money u collected via debts!
 
Kuhusu ruhusa ya kuingilia ugomvi na alshabaab ni rules of engagement tu hapo wakiambiwa ingia wanaingia hata usiku wa manane...subiri siku US citizen atekwe hapo uone wanaovyoingilia shoo iwapo wanapewa amri ya kuingia bila kujali serikali ya Kenya inasemaje

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 

Uko sahihi kwamba Marekani akitaka kufanya yake, anaweza kufanya bila kuomba kibali, pia hata sio lazima awe na base kwenu, kule Pakistan hana base lakini operations zake zinafahamika ikiwemo kumuondoa Osama.
Hata hapo Bongo hebu mthubutu kuwalea mashababi al shetwani muone kama hatoingiza pua na drones zake na hamtomfanya kitu, mtaishia kung'aka tu.
 
Ndiyo maana nasema kuwepo kwao pale si maslahi yeni bali yao hata taarifa wanazowapa ni zile amabzo wametaka muwe nazo na siyo first class intelligence hiyo wanabaki nayo wao. Sasa hao wanini?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ndiyo maana nasema kuwepo kwao pale si maslahi yeni bali yao hata taarifa wanazowapa ni zile amabzo wametaka muwe nazo na siyo first class intelligence hiyo wanabaki nayo wao. Sasa hao wanini?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sawasawa jenerali mkuu kutoka pale vijiweni.

We'll take it from here! [emoji23]
 

DUUU Afrika ingekuwa na watu wa aina hii kipindi cha ukoloni au kupigania uhuru, kupata uhuru huu wa benders tulio nao, ingekuwa ndoto.

wee hujui kinachotawaliwa ni mtazamo na si uwezo.
wazee wa kweli wa Afrika walikataa kutawaliwa licha ya kuwa walijua wazungu wana nguvu kuwazidi. na wazungu waliona MTAZAMO wa waAfrika wa kutotaka kutawaliwa licha ya kuwa walijua KWAMBA wana nguvu kuwazidi waAfrika.
 
sijui jilan zetu nmepatwa na nini aisee!!!! ngoja nfunge kwa Sara ili kuliombea taifa la Kenya maana mnapoelekea mtageuzwa mashoga wote including Uhuru and Ruto😢😢😢
hawa watu sio wakusujudia kabsa maan wamegeuza baadhi ya nchi kuwa sio sehem salama kwa maisha.......! off course wangekuwa marafiki wa dhati kwenu wangewapatia hzo drone angalau mtutishie jilan zenu tz ila kwa kuwa hao jamaa hawana ndugu wala rafiki ndo maana kdf inahangaika na f5 za kufukuzia ndege shamban wasile mazao😁😁😁😁😁kenya n moja ya maajabu saba ya dunia
 
kuikaribisha nchi yoyote ile ya dunia ya kwanza kijeshi nchini kama usa,china,urusi,uk, na nyingine ni kujiingiza katika migogoro yao moja kwa moja mfano usa akishambulia base ya urusi iliyopo syria basi missile hatari ksbisa eskander lzm utumwe kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nasema kuwepo kwao pale si maslahi yeni bali yao hata taarifa wanazowapa ni zile amabzo wametaka muwe nazo na siyo first class intelligence hiyo wanabaki nayo wao. Sasa hao wanini?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Hatuhitaji first class ntelligence maana hiyo ni level ya uhasama baina ya first world kama akina Russia vs USA, sisi tunahitaji uwezo wa kuwatishia nyie nyau wenzetu. Najua nini kinachowauma ndio maana mnatokwa mipovu na kudai mara ukoloni, mara uzalendo..pumba tupu.
 
Mkuu kama unawaona hao jamaa wajinga kujenga camp hapo sawa. First class intelligence ndiyo uchumi mzee siyo kila saa unawaza mashababi tuu.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Duh! Halafu haya mapicha yanaruhusiwa kupigwa na kuachiwa kihivi....
Poa waweke madubwasha ya kisasa hayo maeneo ili mashababi yawe yanaonekana kwa mbali kabla kufika.
Yaani wakenya ni tegemezi sana!
 
Mkuu kama unawaona hao jamaa wajinga kujenga camp hapo sawa. First class intelligence ndiyo uchumi mzee siyo kila saa unawaza mashababi tuu.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Kuna aina ya intelligence sio level yetu Waafrika, hapo Bongo gesi inaliwa na mabeberu hata rais mwenyewe alisema, sasa nyie mnailinda vipi. Bora hata wa kuweka kambi kuliko wa kuja na kuzoa raslimali mchana peupe na hadi rais hana uwezo naye.
 

Cowards mind.2.
 
Kuna aina ya intelligence sio level yetu Waafrika, hapo Bongo gesi inaliwa na mabeberu hata rais mwenyewe alisema, sasa nyie mnailinda vipi. Bora hata wa kuweka kambi kuliko wa kuja na kuzoa raslimali mchana peupe na hadi rais hana uwezo naye.
hehe aisee! mabeberu tumeyashika pabayaaa!
 
Mjiandae majirani.. Wanasema it's disastrous to be American friend… hapo mshaingia kwenye radar za walipa visasi wenye hasira na America msishangae milipuko kwenye rush hours.. Malls..kwa treni Etc etc (Mungu aepushie mbali)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
FACT kiufupi ni kuwa kama usa ataingia vitani na china,urusi,burundi au china kenya lazima iwe kwenye target za mahasimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…