Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Walitaka kuweka military base yao zanzibar lakini tulikataa

Let me ask you a question, what was the focal point of alshabab killings in Kenya? The tragedy came after US forced you to wage the planned war against so called terrorism from Somalia which mostly was because of the Somalian pirates and oil issues all of them are none of your business but US and other nobles businesses, funny enough Americans selling expensive weapons to you for them. It's a marvelous business indeed.

matokeo yake nyie ndio mliogeuzwa punching bag mauaji ya garisa, Westgate, mpeketoni, road bombs na mauaji mengine ya kushtukiza cost lives of hundreds of innocent Kenyans sababu ya ufinyu wa akili za viongozi wenu.

Na bado mtaendelea kuuwawa kama kuku, kila siku wanajeshi wenu wanauliwa kama nzi na msomali mbele ya royal and US troops altogether.
Umeandika ushenzi tupu. Nasoma jibu lako hata wewe mwenywe hujielewi. Ejaculate alafu ulale.
 
Umeandika ushenzi tupu. Nasoma jibu lako hata wewe mwenywe hujielewi. Ejaculate alafu ulale.
Thats the pain naked truth you all suffering from your idiotic realizations, your dumbest leaders are falling you big times like no one's business, ya feeling so good to have big whites population, mediocre dummies
 
Ila wakenya ukiwachunguza priorities zao unaweza ukachoka, wakenya ni watu wa hovyo sana akili zao zipo kama za bata kuna zile nchi kipaumbele kwenye ukombozi wa bara la Africa number one ikiwa Tanzania, sidhani kama wananchi wao wangefurahi namna wakenya wanafurahia kuona mzungu anafanya hivi kwenye nchi yao?

Kenya inamuhusudu mzungu sana na ndio maana hawa watu wanawakung'uta kama mbwa, kuanzia wachina, warusi na wageni wengi waishio Kenya wanawadharau sana wakenya ni watu hovyo kupita kawaida hasa wanapoiona rangi nyeupe huwa wanawehuka.

Ndio maana sikushangaa sana kipindi kile trump anaita African countries ni sitholes ni serikali Kenya pekee ilimtetea trump kitu ambacho Whitehouse wenyewe walishindwa kufanya.

Wengi mnakumbuka Obama aliposhinda urais Kenya ilikua ni holiday season mpaka marekani wenyewe waliwashangaa, these guys have some issues
Ikabidi umotokwa na povu kama sasa hivi
 
Point ya msingi ni hii;MAREKANI YUPO HAPO KWA INTEREST ZAKE MWENYEWE SIO KWA KUWALINDA AU KUWAFAIDISHA NYIE WAKENYA..so please my friends try to be smart kidogo..USA haina rafiki na wameamua kuweka military base yao hapo cuz they know kwamba watabenefit from you!! It feels soo weird kuona mnajisifia kwa hicho kinachofanyika hapo...shame!!

Ugiligili
 
Hii sio kitu ya kusherehekea. Hii ni ukoloni mambo leo. Marekani ni mashetani wakubwa sana katika hii dunia. Hapo Uhuru Kenyatta ametuangusha sana. Mbona anakubali hizi majitu kuleta uchafu yao huku. Kila mahali wanapokwenda wanaleta vita. Angalia Iraq, Afghanistan, Syria, Vietnam na kadhalika. Nadhania hii ni backward step tumechukua kama nchi. We have been colonised once, let us not be colonised again.
Tulieni si wa roho nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon wataanza kupiganisha vita ukanda huu haya majamaa sio kabisa they say there is no free lunch in paris.. and these guys are very smart in foreseeing and smell some issues which they will benefit while your dumb african leaders remain idiots. Huu ushenzi huwez ukaja uweka hapa ardhi ya TZ.
 
Mbona mna wasiwasi na nchi ni yetu? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni
Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe

Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.

Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.
ni kweli aliniambia jamaa yangu ni mjeshi israel idf sayeret matikal kwamba tomhwk moja inaweza kupiga vyema military base zote bongo na isifanywe chuchote yani noma sana
 
Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe

Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.

Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.
Na wao wanawapiga na al shabab wao bila hata nyie kujua
 
Umeandika ushenzi tupu. Nasoma jibu lako hata wewe mwenywe hujielewi. Ejaculate alafu ulale.

Lakini ameandika vitu sensitive sana, Sijajua level ya uelewa wako,
Pengine nikuulize tu swali rahisi, Unadhani wale wanaoitwa Magaidi Wa Al shabaa. Zile Ak 47 huwa wanatoa wapi? Au unadhani kikundi hiki cha Al shabaab Kinafadhiliwa na Nani?
 
Thats the pain naked truth you all suffering from your idiotic realizations, your dumbest leaders are falling you big times like no one's business, ya feeling so good to have big whites population, mediocre dummies

Mimi hata nikikaa na Wakenya huwa nawaambia wawaambie Vionhozi wao (Dumb Leaders) waondoe Wanajeshi wao Somalia, wajitoe kwenye Huo mchezo wa Kuzungukwa na US na Saudia
 
Back
Top Bottom