Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Nasemaga siku zote wewe Jamaa hua sio mnafiki.
 
Umenikumbusha Trump alivyokuwa analalamika kuhujumiwa na CIA na FBI akiwa Rais madarakani, pia madai yake ya kuibiwa kura akiwa Rais madarakani.
Marekani imekuwa nchi ya conspiracies kwa kila jambo, inasikitisha sana.
 
Mkuu, huyo kila atakaponikuta ndivyo anavyonishambulia. Na kila wakati anakuja na ID mpya kuendeleza mashambulizi, ndio maana unaona sipotezi muda kumjibu.

Ni kweli, huwa sijibu PM's zake.
 
Mada kama hizi za kutoa maoni ni nzuri sana ktk kupima uwezo wa kufikiri wa Watanzania. Watanzania wengi ni wajinga na wapuuzi.
Ndio ambacho na mimi nimekisema hapo juu,
Hapa utawakuta wajuaji haswa but hawana habari juu ya bandari zao,hawana habari juu ya mbuga zao na ardhi yao,hawana habari juu kodi kichefu chefu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…