Eagle girl
JF-Expert Member
- May 1, 2024
- 299
- 462
😀😀😀 Mzarau mwibawalikuwepo hiyo sehemu sema walizarau maelezo kwa raia mwema
walikuwepo hiyo sehemu sema walizarau maelezo kwa raia mwema
Alie uwa au kufa?Sniper mrembooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 Mzarau mwibawalikuwepo hiyo sehemu sema walizarau maelezo kwa raia mwema
walikuwepo hiyo sehemu sema walizarau maelezo kwa raia mwema
Alie uwa au kufa?Sniper mrembooooo
Nasemaga siku zote wewe Jamaa hua sio mnafiki.Mimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!
Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.
Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.
Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.
Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
Mwanadada katisha 😂Kuna Wamarekani hata ukiweka jiwe na Trump watalipigia jiwe kura na hao ni karibia nusu ya Wamarekani
View attachment 3042092
Hakuwa sniper, ni dogo alikuwa pembeni ya jengo Fulani ila wamemuuaSniper mrembooooo
Umenikumbusha Trump alivyokuwa analalamika kuhujumiwa na CIA na FBI akiwa Rais madarakani, pia madai yake ya kuibiwa kura akiwa Rais madarakani.Ndio maana nikauliza kwamba hata hao secret service ambao wanalipwa na Biden nao walihusishwa kwenye igizo ili wampe point za kisiasa Trump? Mbona huwa tunaambiwa system haimtaki Trump kivipi leo imsaidie apate marks za kisiasa?
Kingine why Trump afanye igizo wakati Biden hakubaliki? Hata Trump asipofanya kampeni kuna mtu mwenye akili timamu anaweza mchagua Biden?
Sielewagi nyuma ya zile katuni kuna ushetani ganiKumbe zile cartoon za Simpson zinatabiri kweli
Hebu elezea kwa hoja kwanini hayo ni maigizo labda naweza kukubaliana na wewe.
Hio ni assassination attempt we unasemaje ni maigizo? kwanini unasema ni maigizo?
Naona una maoni lakini huna facts.
Sasa hivi mnasema hivi ila kipindi kile hamkua mnasema haya. Watu walilalamika sanaTrump alikuwa sahihi 100%
KWasasa maneno yamebadilika. Waliokua wanalalamika kutukanwa ni kina nani sasa? Kila mtu anakataa sasa iviAlichokisema kilikuwa kwel Sema hukutaka kuushughulisha ubongo wake. Wewe ukadhani ni tusi
Kwasababu gani unaniita zuzuWe kweli ZUZU 😂
Wapo pia walio vote kwa Trump na sasa hivi wanasema hawwaezi kumpigia kura convicted felon, tena watu muhimu sana kama makamu wake wa Rais Mike Pence.Hayo ni maoni yake bnafsi, hata mimi naweza kuleta tweets za walio vote kwa Biden lakini hivi sasa wanasema mzee apumzike.
Mkuu, huyo kila atakaponikuta ndivyo anavyonishambulia. Na kila wakati anakuja na ID mpya kuendeleza mashambulizi, ndio maana unaona sipotezi muda kumjibu.Nifah huyu mshkaji anakutaka nini?!
Au ashafanyaga majaribio ya kuleta maombi P.M unamlia bati?! Maana sioni point ya yeye kukushambulia namna hii kisa tu mchango wako hakupendezewa nao...
We jamaa acha mambo ya Kike..., sasa hapa hata wanaume wenzako tunakushangaa. Kipi kibaya kakisema mpaka umshambulie na maneno ya dharau na kejeli?!
Ushoga ukiwa unapamba moto, tayari kuna vijidume mchele vinajiingiza kwenye ushoga au vishakuwa vishoga bila kujijua.
Bwege nazi wewe!
Huyu hana mume?Kuna Wamarekani hata ukiweka jiwe na Trump watalipigia jiwe kura na hao ni karibia nusu ya Wamarekani
View attachment 3042092
Ndio ambacho na mimi nimekisema hapo juu,Mada kama hizi za kutoa maoni ni nzuri sana ktk kupima uwezo wa kufikiri wa Watanzania. Watanzania wengi ni wajinga na wapuuzi.
Wenzake wa 2005 ndo wanaingia chuo now huku bongo. Yote kwa yote kizazi Cha 2000 kina mambo makubwa katika chanya na hasiKitoto cha 2004 kimeshtua ulimwengu kwenye moja na mbili.
Hallelujah!!!
Kwa yanayo endelea pale Ukraine, chama cha Democrats na NATO nzima zinaona Trump nihatari sana kushika madaraka haswa kwa kipindi hiki..
Kwao nihasara kubwa kusimamisha vita pale Ukraine, Trump akishinda uraisi hakutakuwa na vita tena Ukraine, lengo kuu la NATO ni kuanzisha vita ya 3 ya Dunia
Hawa ni kama akina mwashamba wa USA no wonder. Biden akisema hagombei wanabadilika wote. Trump akishinda wanaenda naye.Wapo wengi sana
View attachment 3042096
Mm sikulalamikaSasa hivi mnasema hivi ila kipindi kile hamkua mnasema haya. Watu walilalamika sana