13 July 2024
Butler, Pennsylvania
Marekani
MILIO IPATAYO TISA YA SILAHA YASIKIKA KATIKA MKUTANO WA TRUMP, AJERUHIWA SIKIO KWA RISASI KATIKA JARIBIO LA KUONDOKA UHAI WA MGOMBEA URAIS
View: https://m.youtube.com/watch?v=szm4fJLaQUUTrump akikunja ngumi hewani baada ya shambulio lililotaka kuondoa uhai wake kushindwa, huku akibebwa mzobe mzobe na walinzi wake baada ya milio ya silaha ya moto kusikika katika mkutano huko Butler, Pennsylvania Marekani.
Umati ulipoona Trump akinyoosha ngumi angani kuwa amenusirika ukaimba wimbo wa kizalendo wa USA! USA! kuashiria umma uliohudhuria mkutano wapo naye bega kwa bega Trump
Shots are fired at former President Trump's campaign rally in Butler, Pennsylvania, and the former President is rushed off stage.
View: https://m.youtube.com/watch?v=XL3D0h5j0Lo
Mara baada ya milio kadhaa ya silaha ya moto kusikika, rais Trump alishika sikio lake kuashiria kitu kimempiga, walinzi wake haraka walimzingira na kumueka katika sakafu ya jukwaa kumlinda huku wakikagua hali ya jeraha lake pia kupanga mipango ya jinsi ya kutoka naye kwa usalama kutoka ktk jukwaa la mkutano alilokuwa amesima akihutubia huko Butler, Pennsylvania Marekani
Msemaji wa Kikosi cha Usalama (Secret Service) alisema Bw. Trump alikuwa "salama." Msemaji wa kampeni ya Trump, Steven Cheung, alisema katika taarifa kwamba rais huyo wa zamani "anaendelea vizuri na anachunguzwa katika kituo cha matibabu cha eneo la karibu ."
Lawama kwa kushindwa majukumu ya kuhakikisha usalama ya mgombea urais rais mstaafu Trump waelekezwa kwa vyombo vya usalama
MAONI YA WADAU :
'Lack of professionalism': Alex Stein blasts Secret Service after Trump assassination attempt
View: https://m.youtube.com/watch?v=XVSx08FbOOQCommentator Alex Stein has criticised the Secret Service over its handling of the situation following former US President Donald Trump’s assassination attempt during a rally in Pennsylvania.“This is a serious issue for the Secret Service there is only one other roof across the whole entire event that had a shootable lane to the president and they had to wait till he shoots them,” Mr Stein said. “This is a lack of professionalism by the Secret Service that doesn’t care about actually protecting Donald Trump.”
Source Sky news Australia