Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Secret wa US wana act kiboya hivyo! Worst!
Wakibanwa vyema, babu Biden et. all wataropoka kama makamu alivyoropoka kuhusu like tukio la Area C
 

Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo.

Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa sikio la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni

Bado haijajulika nani alifyatua risasi.


Update 1
Mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzungukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.

Bado haijajulikana kuwa damu zinazotiririka kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni

Update 2
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.

Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.

Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na Taifa.


Update

Mmarekani Mathew Thomas Cook mwenye miaka 20 ndio aliyemshambulia Trump kwa rifle kabla na yeye kuuwawa na walinzi

Anga la Pennyslivenia la limefungwa hakuna ndege inayoruhusiwa kutua wala kupaa

Rais Joe Biden amempigia simu mshindani wake na kumtakia apone haraka huku akisema hali hii haitakiwi kutokea nchni Marekani

Salamu za pole some toka
Italy kwa waziri mkuu Goeg malon , waziri mkuu wa Uingereza Stamar , waziri mkuu wa Japan Kishida,Rais wa Ufaransa makroon , Chancellor wa Ujerumani, waziri mkuu wa Canada,na n.k

Palina



=====

Trump rushed off stage at Pennsylvania rally as shots heard​


Pennsylvania & London
Secret Service agents have rushed former President Donald Trump off stage after what sounded like gunshots rang out at a rally in Pennsylvania.

Footage showed him grimace and raise a hand to his right ear, before ducking as sharp cracks - apparently shots - broke out.
He was quickly swarmed by secret service agents and rushed off stage to a waiting vehicle. He raised a fist as he was bundled into the car.
In a statement Trump's campaign said he was "fine" and was being "checked out" at a local medical facility.

“President Trump thanks law enforcement and first responders for their quick action during this heinous act,” spokesman Steven Cheung said.

The former president appeared to have blood on his ear as protection officers led him away.
Law enforcement sources later told US media that the male suspect and an audience member were dead.

In a statement, the Secret Service said Trump was safe and that measures for his protection had been implemented.
They added that an active investigation was now under way and that further information would be released when available.

The Republican candidate for president had been addressing his supporters in Butler, Pennsylvania - a crucial swing state in November's election.

Multiple bangs rang out as Trump spoke about his successor, President Joe Biden, and his administration.

Several supporters holding placards and standing behind Trump ducked as the apparent shots were heard.
One witness - Greg - told the BBC that he had spotted a suspicious-looking person "bear crawling" on a roof about five minutes before Trump started speaking. He said he pointed the person out to police.
"He had a rifle, we could clearly see him with a rifle," he said. "We’re pointing at him, the police are down there running around on the ground – we’re like ‘hey man there’s a guy on the roof with a rifle’ and the police did not know what was going on."

Another witness, Jason, told the BBC that he heard five shots, which went off in quick succession.

“We see the Secret Service jump on Trump to protect him. Everyone in the crowd dropped down very quickly," he said.
“He shortly thereafter stood up and put his fist up in the air, said a couple of things."

Tim - who was also at the rally - told the BBC that he had heard a "barrage" of shots.

"There was a spray which we initially thought was a fire hose, and then the speaker on the right-hand side started coming down," he said.
"Something must have hit the hydraulic lines [which caused it to fall]. We saw President Trump go to the ground and everyone started dropping to the ground because it was chaos."

In a written statement, President Biden said he was "grateful to hear" that Trump was "safe and doing well".

"There’s no place for this kind of violence in America," he added. "We must unite as one nation to condemn it."
Politicians of both parties joined Mr Biden in condemning the apparent attack.

Former President Barack Obama said there "is absolutely no place for political violence in our democracy" and that he was "relieved that former President Trump wasn’t seriously hurt".

Trump's Vice-President Mike Pence said he and his wife were praying for his former ally, adding that he urged "every American to join us".
And House Minority Leader Hakeem Jeffries said in a statement: “My thoughts and prayers are with former President Trump. I am thankful for the decisive law enforcement response. America is a democracy. Political violence of any kind is never acceptable.”
People are tired of his ass
 
Marekani Marais 4 walikufa kwa kupigwa risasi, Marais kuanziab Regan mpaka Obama mwenyewe 2011 alikoswa koswa risasi Leo unashangaa risas marekani.
🇺🇸 List of United States presidential assassination attempts.

Presidents assassinated:

🔴 1865 - Abraham Lincoln
🔴 1881 - James A. Garfield
🔴 1901 - William McKinley
🔵 1963 - John F. Kennedy

Presidents wounded:

🔴 1912 - Theodore Roosevelt*
🔴 1981 - Ronald Reagan
🔴 2024 - Donald Trump*

Note: * former president while campaigning

🔴 - Republican Party
🔵 - Democratic Party
 
Huko tayari wamepatikana waliofanya shambulizi. Vipi Chama chako kinachoongoza Serikali kinaendeleaje na waliomshambulia Lissu? Au ndio huwezi kujikamata?
Watuletee dereva wake tumuoji anajua yote ,baada ya tukio alipotea
 
🇺🇸 List of United States presidential assassination attempts.

Presidents assassinated:

🔴 1865 - Abraham Lincoln
🔴 1881 - James A. Garfield
🔴 1901 - William McKinley
🔵 1963 - John F. Kennedy

Presidents wounded:

🔴 1912 - Theodore Roosevelt*
🔴 1981 - Ronald Reagan
🔴 2024 - Donald Trump*

Note: * former president while campaigning

🔴 - Republican Party
🔵 - Democratic Party
Hata Obama 2011 alipata shambulizi baada ya mtu mmoja kushambulia eneo alilokuwa kwa risasi.
 
Make America Great Again..
Trump ana bahati sana. Mlenga shabaha alikosea milimita chache sana. Saa hii tungekuwa tunazungumzia habari nyingine. Labda kama ingekuwa kama ile ya SAVITA iliyotokea mdomoni...
Trump atashinda huu uchaguzi kwa uwepsi sana. Haswa ukiangalia afya ya akili ta Mzee Biden.
 
Ni kina nani hao mkuu wanaoamua nani awe kiongozi wa nchi flani? Naomba unipe japo kwa kifupi abc...
Ni mambo nyeti sana ambayo huwa hayazungumzwi hovyo. Najua unanijaribu na kunidodosa... Anyways!

Dunia hii uionavyo kwa nje sivyo ilivyo ndani... Kuna siri nyingi kubwakubwa na za kutisha ambazo siku ukizijua utaomba zako ukajipumzikie, na utaichukia. Ni kama nyumba, inaweza nje ikawa na maduka, vijiwe, pitapita za watu na shangwe za hapa na pale mpaka ukavutiwa na eneo hilo... Ingia ndani uone machozi na damu, migogoro na magomvi. Ndo ule msemo (kuta zinaficha mengi) ni kama huu ulimwengu tunaoishi.

Chakata akili yako.
 
Mkuu una ushaidi na hili!?
Una elimu gani?

Siongei kwa kukurupuka, nasoma sana na nina exposure! Nimesafiri na najuana na watu. Unadhani sisi ni kama nyinyi vijana wa 90 na 2000 kutwa instagram kutazama matako na habari za wasanii wenu wanaoishi maisha fake au YouTube kutazama nyimbo mpya, wenyewe mnaita vichupa 😂

Eti bwamdogo?! Anyways!... Mtafute na umsome mtu anaitwa "Marilyn Monroe"
 
Back
Top Bottom